kwa kweli mkuu hapa inabidi yawe mambo ya kawulethi umshini wami"Bring me my machine gun!"
i am speachles, hivi mwanao kafanyiwa kitendo kama hiki ,halafu mzazi unaongea sijui kama nini,hivi inakuwaje jamani, mimi mwili unanisisimka kila sehemu, lakini unasikia mzazi anasema mambo ya kipumbavu, wangekamata huyo aliyefanya hicho kitendo,polisi na wangeangalia kama hao wazazi wako sawa kupewa hao watoto wawalee. man inasikitisha jamani
Nasikia watoto waliofanyiwa unyama walitajwa najina, madarasa wanayosoma na majina ya wazazi wao sasa wamekuwa kituko na wanazomewa madarasani na shule wameacha kwenda. sheria ya vyombo vy ahabari inarushusu hilo?
Mimi sioni wazazi walichokosea, ukisikiliza kwa makini utaona kuwa katika mahojiano kuwa watu wa aina nne. Kwanza ni waandishi wa habari wa clouds, pili mtoto aliyenajisiwa, tatu mzazi wa mtoto na nne ni jamii au watu waliokerwa na tendo hili. Sasa kwa kuwa nchi yetu inaongozwa na sheria za nani ni nani katika kushughulikiwa, imeonekana kuwa mkosaji ni mtoto wa msimamizi wa sheria, hivyo wasimamizi wa sheria wanataka kuvuruga ushahidi wa mtoto wao alichofanya, upande mwingine wa wananchi wamekosa imani na kuamua kulizungumza kwenye jamii tujue kuwa nchi hii ina wenyewe na wenyewe si mimi na wewe bali ni wale walioshika dhamana ya kutenda haki kwa misingi ya sheria.
Ukweli ni kwamba sheria hawapi haki wazazi au jamii kumuhukumu mkosaji bali ni mahakama baada ya kupokea kesi toka polisi kuwa kuna uvunjaji wa sheria umefanyika. Wanachokiongelewa hao wazazi na jamii ni sawa kile ambacho kinatokea kila siku kwa vibaka kuachiwa na wananchi kutoa hukumu straight pasi kusikiliza upande wa pili. Hawa waathirika hawawezi kumuhukumu mtuhumiwa kwani itakula kwao. Kilichopo hapa ni jeshi la polisi kuchukua hatua stahiki bila kuangalia vinasaba vya mtuhumiwa.
poles sana just click hiyo link........mimi nimepoteza hata moody ya kilakitu...ni unyama sana, mtoto wa miaka 10 unamuingiria nyuma na mbele kama mtu mzima?????hizi ni dalili gani????? huyu mtu ana roho kweli ya binadamu??? haya ni kama zile story za babu Seya........sio tu afungwe huyu ni wa kunyongwa kabisa...Mi wala sijaelewa naona mnaongea kichina china, wamebakwa na nani wazazi wanajua?, polisi walimuachaje mbakaji, kulikuwa na maelewano yoyote baina ya wazazi na mbakaji na polisi?
Hiyo link haifanyi kazi leo. au hii PC imeathiriwa na mitikisiko ya mabomu ya Mbagala maana nipo karibu na hapo.
mkuu umesikia lakini ni nini huyo mzazi wa huyo fatuma anachosema, mwanzo anaongea kwa uchungu sana kisha ,anasema mambo ya kipumbavu tu, sijui mitando yote kesha haribu, sasa mimi baba ake nitapata ganji lini, ni kitu cha kuzungumza kweli.
Sikiliza vizuri mkuu yule aliyesema jamaa kaharibu mitandao yote ya nyuma na mbele je yeye baba atapata wapi payback, ni mmoja wa wakereketwa aliyejivisha uhusika wa mzazi na si baba halisi wa Fatuma aliyeongea mwanzo kwa uchungu. Si unajua tena kwenye kundi la mamba kenge hawakosi, na hasa mtu akijua anarekodiwa atarushwa hewani basi inakuwa tabu tupu..., sema hata presenters wameichukulia issue katika sura mbili, taarifa yenye kuhuzunisha na burudani.
mkuu link iko safi huenda mashine yako tu na net iko down sana.
Typical bongo!
Wengi humu wanasikitika, wanatoa kauli za "kulaani", wanalaumu wazazi...wanashusha tuhuma nzito dhidi ya watendaji wa serikali and on and on....But no body comes up with a concrete solutions...(perhaps Mwawado tuu aliyeomba kufuatilia..)....Ilmradi kila mtu anajua ni jukumu la mwingine kutatua hili tatizo.Rightly so..lakini hawawajibiki..sasa tufanyeje? Onyesha njia..ndo uwajibikaji wenyewe huo..Clouds wamefanya jukumu lao..pick it from there--if you are interested anyway..
Sasa jamani kwa mtindo huu tutafika?..wewe kama wewe sema utafanya nini...maana makosa yameshatendeka..its not enough "kusikia hasira na uchungu kwa vitendo vya kinyama"..so what???
It is high time we start giving REAL solutions to REAL problems. rhetoricals na viingereza vingi humu bila matendo ni bure!
Masanja,
Nafikiri mtu ukiwa na Adobe Flash Player utaweza kusikiliza.
sasa this is crying over spilt milk....wameshataja majina ya hao watoto so the damage is done....ila its true...najua clouds did this with good intentions but without foresight.......kuna mtu anatakiwa kuwajibika as a result of this mishap.....walitakiwa watoe taarifa without so many details yaani majina etc........halafu na wazazi wa hao watoto at least the first parent i heard is NUTS! i don't think he understands the severity of the situation.....yaani my heart goes out to these girls.kwanza asante clouds kwa kurusha hii kesi
jamani nyinyi mnaofanya kazi kwenye redio, kweli clouds hawana editor wa vipindi vyao kweli???
kama editor yupo alikuwa anafanya kazi gani?
kwa nini editor ameacha hayo majina ya watoto na madarasa wanayosoma yakatoka??
kwa nini editor ameacha hayo maneno ambayo baba yake huyo mtoto amesema kwamba atapata wapi hela sasa hivi?????
yani clouds wametaja majina ya watoto na kusema wameoza?????
kama kuna mtu anawafahamu wahusika wa clouds wawaambie wa edit hii kitu watoe majina ya watoto na maneno ya baba yao ya kwamba atapata wapi pesa????
yani baba hana uchungu hata kidogo???
My Internet connection is ultra-fast na PC yangu ni mpya na very modern, lakini hiyo link naona ina-upload tu muda wote wala haifunguki, for 5 minutes now!! Don't think it's gonna work. Can someone Youtube it?