Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
Sisi huku tumechokaaaa na story tunazopigiwa na wenzetu wanaotoka Dar es Salaam na Magazeti Yote ambayo yanaandaliwa Dar na kufika huku mikoani. Mara tuambiwa kuna kitu kinaitwa LEO TENA, Mara Njia Panda, kisha tunaona mshindi wa kipindi bora cha kijamii katoka clouds, mara hekaheka haya sie tunasoma tunakubali. Lakini cha ajabu tukasoma historia kama hizo kwamba kuna Mtu anaitwa RUGE Mutahaba, kwamba huyu ndiye mdau muhimu hapo clouds, Jina tukilicheki kama la hukuhuku tulipo lakini redio hiyo haisikiki, acha maeneo mengine basi hata Bukoba Mjini ili tukifuata vi - Mshahara vyetu tusikie walau ... hakuna, tunaambiwa kuisikia clouds mpaka uwe na Dish mara uende TBC1 audio yaani misamiati mitupu. Sasa tunaoenda ofisini tubebe madish? Mara tukaona mtu anaitwa Dina Marios kwenye magazeti hasa lile la sana kwenye sehemu inaitwa mtu kati..kusoma tukaona huyu dada kwao Buganguzi - Muleba ( anakozaliwa Tibaigana) ahahaaaa... huyu hataki huku tusikie hata sauti yake.
Mara hapa JF tunaona anatajwa Ephraim Kibonde kuwa kuwa brain yake sometimes ni "shake well" source maneno aliyoyasema Clouds Fm wa mikoani wengine kama hapa Bukoba huwa naona wanachangia wanamind na kuchukia kilichosemwa na Kibonde ( Ukiwauliza "uliisikiliza hiyo radio?" anasema huku haisikiki basi nacheka hadi mwisho. Na vitungine tunaambiwa clouds. Sasa nyie clouds wengine watasema ooo sijui nini lakini huyo mtu asiyetaka kwao wasikie mambo yake sijui yukoje. SAIDA KAROLI alijifanya kuweka makao makuu yake DAR wakati nyimbo za asili anazoimba za huku lake zone. Mamamaaaa wakamuingiza mjini hadi sasa kahamishia makazi Tivoli huku Mwanza . Angalau sasa hivi anamake something.
Tunataka na sisi tusikie hiyo redio ili tujue huyo kibonde huwa anateteaje ufisadi na huwa nachemkaje pia tumsikie huyo Marios dina wa kwa Tibaigana na Masilingi.

Pale bukoba mjini Clouds inapatikana kupitia dish au cable kwa kutumia TBC1 audio.lakini nafikiri mkuu issue pale si radio hiyo tu tv inayopatikana bila dish wala cable ni TBC1 pekee hivyo kila mwenye tv lazima ajiunge cable ili apate tv zote za tz zilizo kwenye satelaite.wakazi wa bk na mikoa mingine ambayo mambo ni kama haya inawafanya wakazi wake kuingia gharama zaidi na maisha ya watu hao ni duni lakini hakuna asiependa habari na burudani pamoja na umasikini uliopo.nafikiri ni wakati wadau wajitahidi kusambaza matangazo sehemu kubwa zaidi maana wamekua sasa.mji kama bukoba umechangamka sana sasa lakini inashangaza kukosa vituo vya radio na tv kutoka Dar.Umenigusa sana mwana kwetu,hawa jamaa kana kwamba pale dar ndo mwisho...jamani mbona watu hawa hawaoni umuhimu wa wao kutusaidia sisi wa kwao? Au ndo wanasahau kale ka msemo kanakosema ..kila mchuma janga hula na wa kwao?
Umenigusa sana mwana kwetu,hawa jamaa kana kwamba pale dar ndo mwisho...jamani mbona watu hawa hawaoni umuhimu wa wao kutusaidia sisi wa kwao? Au ndo wanasahau kale ka msemo kanakosema ..kila mchuma janga hula na wa kwao?
Na hiyo Kasibante Fm ya Kagasheki MP ambayo ndio inasikilizwa sana bk inaboa kweli,muda wote ni vijembe kuponda upinzani na kuzidi kuwajaza ujinga wananchi.Ona watu mnavyojipenda. Huwezi kuwa critical bila kusikia unayemcriticize anaongea nini. Wewe una access na hiyo redio na ujinga wote unausikia sasa nyie mnapoanzisha mada ambazo sosi ni hiyo clouds sisi hatusikii mnategemea tuunge vipi mkono hoja. Ukitoa habari ambayo imeongelewa mwana halisi wote tunachangia , Sijui RFA tunachangia , sasa hayo mnayoyasema ya ccm , sijui ni ya nini acheni na sisi tuyasikie tupandishe munkari yetu . Watu bwana> Masiwe kama TV za bongo vipindi vyote vya USWAZI sijui kipima joto wanaongea wa Dar. Mbona kila mkoa kuna Uswazi, Watu bwana mie nilitegemea unieleze zaidi pumba hizo za ccm sasa wewe ndo hutaki nisikie ili nipime hali halisi ya wanachokiongea na hali ya nchi. Pia haya ni mawazo yangu wewe nisaidie tu hizo pumba nizisikieje? just a simple reasoning ili na mimi niwe na benchmark ya ku- argue. Wether radio ni nzuri au ni mbaya tunataka tujisikilizie. Kama mnaomba mod aitoe hii mada basi ajabu. Mbona huwa mnatupa habari ambazo source yake nin huko dar ambako hatusikii lakini support za kimapinduzi tunakimbizana sie huku. Hivi mie nikiandika habari ambayo Sorce yake ni KASIBANTE FM ya hamis Kagasheki hapa bukoba na nikaomba uniunge mkono kwa nilichokisikia kupinga utaniunga mkono 100%?
Wanakwetu, (ab'omuka),
Radio ya Clouds FM haina chochote kitachokufanya ulale mlango wazi, including entertainment kwani wako outdated.
Mbaya zaidi vipindi vyao nachelewa kusema vitakuwa na negative influence kwa kizazi chetu.
Mwikale n'emilembe, munyegele Kabale k'Omukama.
Wabukoba nadhan kuna vitu vya msingi vya kulilia na si cloudsfm
Acheni ukabila nyinyi..........................wewe ni Rweye wa ikulu nini? Maana comment zako ni za kawaida sana mkuu..
Acheni ukabila nyinyi..........................wewe ni Rweye wa ikulu nini? Maana comment zako ni za kawaida sana mkuu..