Clouds Fm wameanza kuisoma namba, tamasha la Fiesta nchi nzima lasitishwa

Endeleeni kujihadaa hivyo hivyo. CCM Bado inakubalika na ndio Chama kilichowezesha Ushindi wa Dr. Magufuli kuna Vichaa wanadai eti Magufuli ndio kaiuza CCM badala ya CCM Kumuuza Magufuli. Hawajiulizi imekuaje Kwenye Urais CCM ilipata 58 % lakin kwenye Ubunge na Udiwani imepata 70% + halafu bado kuna vichaa wanaamini CCM inachukiwa na wapiga kura wengi zaidi.

Vichaa kivipi? Yaani mtu akihoji Goli la mkono unamwita kichaa? CCM ilichakachua hawakupata Ushindi wa haki , ndiyo maana Magufuli kaamua kulipua majipu ili iwe rahisi kuteka Akili za wengi na kusahau ya nyuma.
 
kwani hao wanawake ruge huwa anawashikia panga na shoka hadi wachojoe na awachape nao? una wivu na chuki za kipumbavu sana mkuu. kama wewe unashindwa kutongoza au huna hela / pesa / fedha za kuwahonga mademu potezea tu na kapige zako tu punyeto. katika hili la kutembea na wanawake nitamtetea hadi kufa kwangu mtani wangu wa kihaya ruge kwani naamini huwa hawalazimishi hao mademu na ningekuona pia una akili timamu kama pia ungetumia fursa hii hii ya kumsema ruge basi ungewapa pia somo na hawa dada zetu ambao wengi wao wanachokijua ni kuchuna tu wanaume kwa maslahi yao yanayochagizwa na tamaa zao zilizonogeshwa na ujio huu wa utandawazi. mwisho nakusaidia tu kwakuwa nimeshakugundua kuwa huna akili na kama ulisoma basi hukuelimika kisawasawa kwani nina uhakika karibu 95% ya mabosi wengi hapa tanzania wawe wapo serikalini au ktk taasisi binafsi wanatembea mno na wafanyakazi wao na kama hii haitoshi nina uhakika kuwa karibia 98% ya dada zetu wa kizazi hiki cha dot com wanapata ajira au vibarua kwa " kubanduliwa " au kugawa uroda kwa hao hao mabosi zao wa kiume. iweje umuone tu ruge mutahaba kuwa ndiyo fukska pekee hapa tanzania? ukiwa masikini wa akili na wa pesa kwa pamoja ni janga baya kuzidi hata kuwa muathirika wa virusi vya ukimwi. naomba niishie hapa na kama nitakuwa nimeongopa basi najua mwalimu wa jamvi hili nifah atanisahihisha. mimi mwenyewe nawabandua sana hadi nawachoka na bahati mbaya wengi wao hujitongozesha kwangu mwenyewe kwa kuwa wanajua mimi ni bosi na ninachokifanya " nikishawakanyaga " tu nawapotezea au nikiona wataniharibia kazi nawategeshea tu kosa la ki management kisha napata sababu na nawatosa. na labda lingine usilolijua ni kwamba hawa hawa wanawake au mademu au dada zetu kama wakiwa wengi ofisini au ktk taasisi zetu hizi halafu hutembei hata na mmoja wao jina lako litabadilishwa haraka na kuitwa " shoga " sasa usawa huu nani anataka kuitwa SHOGA? mtani wangu ruge endelea tu " kuwachapa " nao hadi wakome na wanyooke!
Rushwa ya ngono, pia huitumia kuwatisha wasanii wa kike si kwamba wanataka pesa, wengine Mbona tunachukua wanawake hata bure, hakuna mwenye wivu na wewe Ruge bali Tabia zake ndizo zinamhukumu
 
Duh we jamaa unasikitisha unajivunia na kujishaua kutembea hovyo na Watoto Wa watu wenye shida zao... Kama haitoshi unawafukuzisha mpaka kazi???!!!!... We jamaa unahitaji uchomwe kWa moto Wa gesi ya mtwara...

Pia inaelekea we we na ruge ni watu Fulani wenye itikadi sawa ndio maana unamtete mpumbavu mwenzio... Kama unataka kujua anachokifanya ruge ni kibaya au kizuri nenda kamuulize mke wake anavyojisikia kwa mambo anayofanya Mme wake..

Watu kama nyie ndio huwa tunawafanyia mambo mabaya huku kwetu kigoma... Umeshawahi kupata dalili zote za ukimwi lakini ukienda hosptali huonekani na ugonjwa wowote... IPO siku we we na ruge mtaingia anga za wajukuu wanaoijua dunia vizuri
. mtajuta....


Pia inaelekea mama yako alikuwa akifanyiwa hivyo na baba yako so umerithi tabia ya baba yako....

Karibu sumbawanga mkuu

Huyo jamaa anayejidai kutumia vigezo vya kutembea na beki tatu lazima atakuwa Ruge mwenyewe lakini hata ajitetee Vipi hawezi kuondoa doa.
 
Ila watanzania wanaichukia sana clouds fm na Ruge, kuna haja ya Ruge kujihoji na kutengeneza mahusiano mema na wananchi, Ruge ajishushe asikilize kwanini anachukiwa na clouds fm pia na atengeneze mapema.

kaka unachosema ni ukweli hakuna kitu hatari kuwa na mtu mwenye nguvu flani au pesa halafu akawa ana roho mbaya ! hitler alikuwa na ushawishi jeshini na pia akawa na roho mbaya kitu alichofanya ni janga hadi leo huyu jamaa kama una akili za kawaida km wasanii wetu utaona anachofanya ni sawa ila kiukweli huyu jamaa kaumiza watu wengi sana kwa kutumia radio yake hivi kaka! jamaa katengeneza aina flani yani ka group kake ka wasanii wajinga wenye kutaka umaarufu anawatumia kweli kweli shilole, nuhu, tht, weusi, navykenzo, young dee na utitiri mwingi wasanii wenye vipaji inabidi wapotee tu maaana radio yake ina ushawishi mkubwa! eti akiambiwa anasema radio zipo nyingi! jamaa kaua game kabisa
 
Wameogopa pesa za bure hawawexi kupata tena

Kweli Magufuli ananyoosha watu
 
kwa akili za kawida tu fiesta ni wizi hebu fikiria wasaniii kama 30 kwa kiingilio cha elf 3 na matamasha mengi watu hawazidi elf 20 mikoani hata km ana sponsors we unafikiri atawalipaje wasanii zaidi ya kuwapa vilaki laki na promo radioni halafu leo umwambie alipe income tax 30% na walee wasnii wa nje wanaokujaga bongo ki tax wanaitwa non residents nao watoe kodi kwenye income yao ataweza kweli ku operate? ni ngumu kimahesabu ili ilipe lazima akina shilole walipwe laki 5 mikoa yote jumlisha promo..na huu ndo unyonyaji
 
Hao jamaa ni virus wakubwa sana katika tasnia hii ya bongo coz ukigombana nao ujue unashinda njaa kama ujajipanga au haupat tuzo mchwala za kil
 
Sio Wa Tanzania. Sema vijana wa Dar na Arusha. Nenda mikoani huko uone Clouds inavyoabudiwa na kupendwa.

Justification hii naifananisha sana na Ile ya kusema CCM imechokwa. Lkn kumbe ilikua imechokwa Dar na Arusha na Kwa Wachaga.

Kwingineko kote inapendwa mpk basi

Nilitaman kuandika kitu ila ID yako imekunusuru....jiheshimu
 
huyo jamaa ni hatari huo ujinga anaoufanya kwenye mziki aje kwenye biashara ya madini au aingie kwenye siasa aone huko kwenye mziki anapambana na watoto tu mara 20% mara jide mara vinega km yeye anajua madili aingie kwenye madini au biashara kubwa kubwa aone kitakachompata! cheki jamaaa alivyo mjanja

1. aliwaaminisha wasnii kupitia ma agent wake km ma dj na watangazaji kuwa ALBUM SI KITU ili waendelee kutegemea show za fiesta akijua wakiashategemea fiesta basi hawatakuwa na nguvu nao wakaaumeza ujinga huu kwa kuanza kusema mamu anawaibia wakati jay , mr.nice nature, ngwair waliuza nakala kibao! eti sasa hivi wanatoa manyimbo mengi yanaishia tu mitandaoni wakisubiri show za msela za laki 5 kwa mwaka! bora wangeuza album na show hata km ni kidogo wangetafuta jinsi ya kusovu sio kukimbia. ona sasa ukimzingua upati show unabaki na njaa mwishowe wadawa then kifo

2. katengeneza kikundi flani cha wasanii cheap wasiojielewa wenye kupenda umaarufu ambao ana uhakika hawachomoki kwake wanapewa promo kishenzi kiasi kwamba vipaji vya ukweli vinapotea maana jamaa ana network si mchezo km kipindi cha jk ilikuwa lazima upotee ukimpinga

3.rotation ya mziki kwenye radio yake umetengenezwa kupiga nyimbo mpya kila mara ili kutengeneza GOODWILL kwa wasikilizaji ila kwa wasnii inawaumiza wao bila kujua huwez toa hit kila baada ya miezi 3 ndo maana bongo wasnii hawadumu maana radio yenye nguvu ina rotation inayoua mziki angalia uganda akina chamilion ,bebe cool ,juliana mpaka leo wanadunda , nenda kenya hivyo hivyo ! bongo ni ngumu maana unatambulisha leo wanapiga mwezi tu then wanaanza kuforce nyimbo mpya zije utasikia watangazaji wao saa7 flani kakaa kimya sana kumbe ni janja ya kuwaaminisha wasanii walete nyimbo ili radio ipae "goodwill" wakiona hamna wanawatuma tht walete nyimbo ili zipigwe lazima msanii hasidumu


mziki ni ajira na ni utamaduni
wa taifa haiwezakani mtu aje atwambie anapiga nyimbo anazopenda yeye nilishangaaa jamaa aliwai sema hakuna kupiga bongofleva ataipiga akina rihana tu! kweli kabisa uache kupiga nyimbo za dada zetu na kaka zetu ukapige za ulaya kisa umekata leseni wewe! uuwe utamaduni wetu kwa sababu ukekata leseni wewe! lakini wasanii wakaa kimya1 sidhani km kenya ama mbele huu ujinga unaweza tokea

mwana fa na nick
hawa jamaa wamesoma sana lakini kweli elimu yetu haina kitu yani madogo wanatumika kuungamiza wenzao wakati hakuna wanachopata fa alijua jk atampa ubunge kirahisi? na nick ameshindwa kubadilisha system nae atatumika km wenzake tu
 
Yule mdhamini mtengeneza bia nasikia amekata kamba. Ndiye aliyekuwa anawapa mpunga mrefu... Nadhani jitihadi za kumlamba miguu bado zinaendelea na huenda mwakani 'akarudisha moyo'...
 
Back
Top Bottom