Clouds FM waendelea kuipiga nyimbo ya pale kati ya Ney

Clouds FM waendelea kuipiga nyimbo ya pale kati ya Ney

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,535
Wakati leo kukiwa na taarifa za kufungiwa msanii Ney kwa muda usiojulikana.

Muda si mrefu nyimbo yake iliyofungiwa imepigwa clouds.

Naona clouds imeshindikana
 
Wameota mapembe, hukuona hata ile adhabu kuhusu mambo ya vilainishi hawakutekeleza!
 
clouds redio ya serikali ina uccm kwa mbali ...ndo maana.....kuna redio ztakuja kua tishio sana efm na jembe fm
 
Safi sanaa. ..Huyu Jamaa huwa anajifanyaga Mbabe sana. ..BASATA SAFIIIIIIII
 
Back
Top Bottom