big nooooooooooo. Mi nilisikiliza mwanzo hadi mwisho na kisa cha kusikiliza ni mara baada ya kile kipindi chao cha michezo. Nikamsikia mwendesha kipindi akitoa maelezo ya awai juu ya mgeni wa kipindi kile ('Aunt Suzie'). Nimekuwa pia nikifuatilia sana vipindi vya njia panda. Yawezekana ukawa na sababu nzuri tu ya kujustify hilo wazo lako. Lakini kwa ujumla nakuambia big noooooooooo. Yule jamaa anatamani sana kuachana na hiyo makitu ila ni sawa na wale wanaokuwa addicted katika madawa au pombe. Kuacha inakuwa ishu. Clouds fm wanakuwa ni kama platform tu ya kumpa msaada yeyote mwenye tatizo linalohitaji msaada au yeyote mwenye jambo zuri analotaka kushare na jamii. Ni tulizo la wenye kuhitaji faraja, waliozongwa na mafundofundo ya nye mawaa kibao, wenye misongo ya mawazo juu ya madhira yanayosababishwa na ama wao wenyewe au jamii inayowazunguka. WAPE MSAADA WALE WENYE SHIDA KWANI MUUMBA NDO NAJUA MALIPO YAKO. Kwa hili nadhani clouds wako sawa ingawa kuna baadhi ya sehemu hata mi huwa sikubaliana nao (Hatuwezi wote kuwa na mawazo ya aina moja kwa maana ya kwamba somewhere ni lazima tu tutatofautiana)