STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,348
- 6,924
Hyy guys,
Kwa wale wasikilizaji wa kipindi hiki bomba ndani ya Clouds FM, kila Siku ya Jumapili SAA tano kamili asbh hadi Saba mchana kikiongozwa na Mwanadada matata sana ( MomyBaby).
Kuna ule wimbo(Beat) ambao unaplay kwa Background.. So naomba kufahamishwa jina la ule wimbo na jina na Msanii husika au kama kuna mtu anao basi audropishe hapa..
MomyBaby kama unaingiaga humu basi Fanya hvyo.