Clouds fm ndo radio bora hapa Bongo

Hiyo redio sasa hivi ni kimeo.. imebaki redio ya matangazo
 
Kwenye vipindi vya kama XXL na Planet Bongo mtaskiliza nyie msio na shugul maalum mjini...sijui hapo huwa mnajifunza nn.. Vipindi vyene akili tumami vizo EA radio zaidi, kuanzia EA breakfast, Supermix, ndinga mpya town na Kipenga.. Vipindi pekee vya maana vilivyobakia clouds ni Njia panda na kile cha Harris Kapiga baaas
 
mtazamo wako tu mkuu
 
Clouds napenda xxl amplifaya na njia panda
 
Kumbe vituo vya radio siku hizi huwa vina nyimbo zao
 
Eti nyimbo za Ea radio sio nzuri, kwani radio ndio inanyimbo au wasanii? Kwanza Ea radio ni chuo hao unaowaona wengi Wa watangazaji wametoka Ea radio, sema promo na hisia zimekutawala, labda niolewe ndio naweza sikiliza rubbish radio dizaini ya clouds
 
hv mamy baby na Kennedytheremedy walikua wanatangaza kipindi gan Ea radio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…