Tulibhalega
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 461
- 350
promo at work
umekusanya maoni kwa watu wangapi ukaambiwa clouds ni redio bora?Radio anakofanya kazi Ephraim Kibonde?
Wapi nimesema ni Radio bora?umekusanya maoni kwa watu wangapi ukaambiwa clouds ni redio bora?
Home boy waku huyu lakini!!!!!Radio anakofanya kazi Ephraim Kibonde?
Wanamwita kibs, anajaribu sana kumuiga Jf koinange lakini naona anaishia kuharibuWapi nimesema ni Radio bora?
Nadhani hujaelewa kwa nini nimeweka jina la Kibonde. Radio presenter wa ovyo kuliko wote. Labda hapo utapata maana yangu.
Sawia kabisa...!Kwa Naomi yako upo sahihi
Ila mimi zote naona za kiboya
Kwa maana ya mkoa sawa. Lakini sio kyusa japo anajinasibu hivyo!Home boy waku huyu lakini!!!!!
The most hopeless guy.Wanamwita kibs, anajaribu sana kumuiga Jf koinange lakini naona anaishia kuharibu
Clouds inapatikana maeneo machache ukilinganisha na redio nyingine kadhaa, clouds imejikita kwenye kuwateka vijana kama chombo cha burudani badala ya kuteka tasnia ya habar kama chombo cha habar ambalo ndilo lengo kuu la chombo chochote cha habar, mleta mada inaonekana una mahaba na clouds na sio analysis ya performance ya radio stations hapa nchini, hii inadhihirika kwenye maelezo yako, na kwa sababu hii pekee ya mleta mada kuwa na mahaba na clouds, mada yako ni feki na ujifunze kuleta mada kwa kutumia vigezo sio mahaba, nilitegemea uweke comparison ya stations mbalimbali, kwa ufupi "none sence"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah kweli hujasikiliza ktambo mkuu maana mpaka m.carrick kahama! au labda carrick wa mbao fcsijasikiliza redio toka Michael carrick ahamie man u..nakumbuka alisifiwa sana na dauda
Sio radio bora sema wamekuteka wewe na wapuuzi kama WeweClouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio.Hapa nazungumzia vipindi vya burudani vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saa kumi. Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki sana kazi yao nikuwachamba wasanii wakubwa kama Afande Sele kuwa eti hawana swagger.
Alafu nyimbo zao hazina ubunifu kiukwel XXl clouds FM itabaki kuwa radio bora hapa Tanzania wao awana ishu zakuwatukana wasanii wakubwa malegendary kama Afande Sele. East Africa radio full ubaguzi kwa wasaniii yaani washamba sana awa East Africa radio.