DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,198
unataka kusema clouds hawana huo ubaguzi kbs?Clouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio .Hapa nazungumzia vipindi vya burudan vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saakumi.Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki sana kazi yao nikuwachamba wasanii wakubwa ..kama Afande Sele kuwa eti awana ...Swagger alafu nyimbo zao hazina ubunifu kiukwel XXl clouds FM itabaki kuwa radio bora hapa Tanzania wao awana ishu zakuwatukana wasanii wakubwa malegendary kama Afande Sele ...East Africa radio...full ubaguzi kwa wasaniii yaani washamba sana awa East Africa radio.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umeshaijaribu na TBC lakini??
Umeshaijaribu na TBC lakini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeshaijaribu na TBC lakini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeshaijaribu na TBC lakini??
Pia kwenye maelezo kajikita kwenye vipindi ie xxl vs planet bongo, haeleweki huyu.Heading inasema cloudsfm vs all radio staions.
Maelezo yanailenga radio moja tu ya ea-radio.
Kuna kajitatizo hapa[emoji4]
kwa mikoaniNever.R F A is the best.
Basi kama itakuwa kwa mikoani, na ikawa mikoa mingi...ni dhahiri itakuwa best over claoudskwa mikoani
Achana na hisia. Ukiongozwa na hisia kweny jambo lolote, utajikuta unakosea kila sikuPia kwenye maelezo kajikita kwenye vipindi ie xxl vs planet bongo, haeleweki huyu.