Clouds Fm na muziki wa singeli

Clouds Fm na muziki wa singeli

Sosthenes Maendeleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,723
Jamani Clouds Fm mnaboa sana. Huu mziki wa singeli sijafaham mnaupendea nini? Maana hauburudishi wala kuelimisha. Yaani ni kelele tu hadi napata ukakasi nakubadili stesheni redio.

Wakuu niambieni ninyi mnaupendea nini huu mziki wa singeli?
 
Wana watu wao wanapenda hizo ngoma, hukuwa na haja ya kufungua sredi, kama ulibadilisha channel then you have done your best!!
 
Jamani Clouds Fm mnaboa sana. Huu mziki wa singeli sijafaham mnaupendea nini? Maana hauburudishi wala kuelimisha. Yaani ni kelele tu hadi napata ukakasi nakubadili stesheni redio.

Wakuu niambieni ninyi mnaupendea nini huu mziki wa singeli?
Wako ICU hao wasamehe bureee
 
Wako ICU hao wasamehe bureee
Watakuw wamevimba kichw kuwa chochote wanaweza na mengi wamejarbu wameweza hasa kuwapa promo wasani wachanga ila kwa huu mziki wawaachie wana daslam hususani uswazi
 
Wao wanajitahidi kupata coverage ya kutosha, kutokea wazee, vijana, watoto katika nyanja tofauti tofauti kulingana na umri, class ya watu na vitu kama hivyo ili kupata coverage ya kutosha, mimi personally hua nnazima akishaanzaga yule kichaa wao anaitwa kicheko sijui mana ni makelele tu
 
sipendi hata mmoja kati ya hizo huwa natoa nikisikia hizo .. japo naamini kuna watu baadhi wanapenda
Acha tusiingilie uhuru wa watu wengine. Mimi binafsi huw napenda hiphop, blues, raggae ton, bongo flava and other african busics lakin sio singeli
 
Nganganga hainaga ushamba na mshamba hawez kuelewa hyo ndo miziki ya uswazi yan kibaka akikukwapua simu yako ww imba tu singeli lazma akurudishie
 
Mikono juu
mikono juu
mwendo wa mateka mikono juu
chapaaaaa masisela gwisa baharia
ndo vle vle baharia ngastuka
hatumkalii mtu nyuma hata ukikaa mbele tuta force kukuweka nyuma...
 
Back
Top Bottom