Clouds FM na Kuipromote CCM,TCRA mpo wapi?

Mbona bado kuna redio nyingi tu nawengine waweza peleka zao huko zikapingwe mi ushangaa mtu Kukaa au kumchukia mwenzie sababu ya upuuzi huu ni upuuzi kuchukia mtu kwa kile kinachomuendeshea maisha yake siasa upumbavu km upumbavu mwingine na sisemi mashabiki wa siasa kama wao wako mbali na upumbavu.
 
Hawajifunzi kwa Juma Nature, hawajifunzi kwa akina Masanja mkandamizaji kwa kukubali kutumika na Tawala kilichowapata?

Mbona hutaji Diamond Platnumz ? Ila masanja mbona ndio tajiri wa wasanii ama wajifunze nn umekusudia? Hemu npe msanii mmoja ambae katajirika kwa sababu tu kasema yeye ni mpinzani? Unaenda kumtaja Juma nature na Masanja watu wenye majumba yao na magari yao wewe unamiliki smartphone ya kuingilia JamiiForums tu hehehe
 
Last edited by a moderator:
Umenena mkuu, umemsahau Marlaw.

Hili Ndio Tatizo! Wengi Watumikiao Mabwana Uchaguz Ukiisha Na Wao Biashara Kwisha.Kama Unataka Biasha Yako Ikue Lazima Uwe Neutral Kwa Wateja Wako Bila Kujali Itikadi Zao.
 
Wakuu nasikia mmiliki wa hiyo redio na clouds tv ni rugemalila ni kweli ama..

Si kweli, mmiliki wa Clouds TV na Radio ni Joseph Kusaga. Meneja wa vipindi vya TV na Radio ni Ruge Mtahaba na si Rugemarila.
 
KUSAGA mwenyewe nchi kahama siku hizi anaishi ABU DHABI.

 
Juzi kwenye kipindi chao cha jahazi walimkaribisha zuhura yunus wa bbc swahili akawambia heshima ya bbc ni kutokana na kuwa ni chombo huru lakini hayasikii haya mang'ombe ya clouds radio. Their not professional
 

Mkuu achana na hao waganga njaa. Kuanzia January 2016 kitanuka tu hasa ukizingatia wengi wao hawana mbele wala nyuma (kielimu na kiuchumi).
 
Last edited by a moderator:

Hiyo ndio interview ya Mwisho ya Mwendazake Capt. Komba.
 
Clauz inapoteza umaharufu wake cuz wapo wengi sana wanailalamikia...matangazo mengi uchama wanauwa wasanii (zamu ya kiba) kupanda...kwahiyo sion ajabu kufanya kampen yakupandisha ccm km kinana!!!
Octobr 2015 mwisho
 
Siamin mtoa hoja kma kafikiria vizuri kuhusu burudan japo mm chadema dam simuungu mkono cz moja ya sifa ya nyimbo nikuburudisha au kukufundisha na kukuelimisha so labda wameweka kwaniaba ya kukuburudisha tu na sio vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…