Clouds FM Moshi Kilimanjaro

Clouds FM Moshi Kilimanjaro

Hivi kwani Wachagga wa huko Kilimanjaro huwa na nyie mna muda wa kusikiliza Redio au kutizama Runinga? Mimi nilijua nyie muda wote huwa mnakuwa busy tu kusaka noti.
Gentamycin inatolewa i.v 5mg mpaka 7.5mg per kg, nakuheshimu sana mkuu
 
Kwanza mji wenyewe haukui,kila ukienda unazidi kuchakaa,bora hata hiyo clouds isipatkane.
utakuwa na matatizo ya akili we
moshi n mji msafi kuliko yote tz uliopangiliwa vyema umechakaa wapi?
pia kuna mzunguko mkubwa sana wa fedha unadhan n kama huko kwenu ikwiriri?
 
utakuwa na matatizo ya akili we
moshi n mji msafi kuliko yote tz uliopangiliwa vyema umechakaa wapi?
pia kuna mzunguko mkubwa sana wa fedha unadhan n kama huko kwenu ikwiriri?
Nenda katubu,
Moshi iwe na mzunguko Mkubwa wa hela toka lini?
 
Mku
mzunguko wa hela kwa maana ya biashara
moshi muuza supu tu anamiliki nyumba Kali na bodaboda 2
Mkuu hapo sipingi aisee, yani juzi kati nilitembelea mitaa Fulani ya Moshi, nilishangaa kuona Nyumba Kali za kifahari sana, nikatamani hayo majengo yangekuwa yanahamia DSM mitaa ya KEKO, mbagala, tandika, manzese .
Moshi pako juu bwana
 
SEMA tatizo wanawake wa huko historian ya tamaduni zao imewaharibu, k
 
Mku

Mkuu hapo sipingi aisee, yani juzi kati nilitembelea mitaa Fulani ya Moshi, nilishangaa kuona Nyumba Kali za kifahari sana, nikatamani hayo majengo yangekuwa yanahamia DSM mitaa ya KEKO, mbagala, tandika, manzese .
Moshi pako juu bwana
n kweli mkoa Kilimanjaro mijumba ya maana vijiin na wamepangilia makaz vixur utadhan ulaya
migomba kijaniii
tan hadi gorofa zipo migmbn
 
kwaa nini mnapenda sana kutangaza vifo, huku mkituma salaam kwa watu walio nje ya nchi may be marekani na kwingeneko?
 
Back
Top Bottom