Gentamycin inatolewa i.v 5mg mpaka 7.5mg per kg, nakuheshimu sana mkuuHivi kwani Wachagga wa huko Kilimanjaro huwa na nyie mna muda wa kusikiliza Redio au kutizama Runinga? Mimi nilijua nyie muda wote huwa mnakuwa busy tu kusaka noti.
TBC Taifa ndiyo nn?Achana na hiyo redio ya makanjanja, sikiiza TBC Taifa 87.5 ukweli na uhakika
Enzi hizo akina HK, Dj ChancePasua msonobari.daah umenikumbusha mbali sana
Mamy chaiiiiii...Enzi hizo akina HK, Dj Chance
[emoji16][emoji16][emoji16]...ilikuwa kipindi cha asubuhi lazima usikie katoto kanalalamika mamii chaiiiiMamy chaiiiiii...
utakuwa na matatizo ya akili weKwanza mji wenyewe haukui,kila ukienda unazidi kuchakaa,bora hata hiyo clouds isipatkane.
Nenda katubu,utakuwa na matatizo ya akili we
moshi n mji msafi kuliko yote tz uliopangiliwa vyema umechakaa wapi?
pia kuna mzunguko mkubwa sana wa fedha unadhan n kama huko kwenu ikwiriri?
Mzunguko wa HELA kivipiutakuwa na matatizo ya akili we
moshi n mji msafi kuliko yote tz uliopangiliwa vyema umechakaa wapi?
pia kuna mzunguko mkubwa sana wa fedha unadhan n kama huko kwenu ikwiriri?
ingia web ya tra uone moshi wanachangia pato kiasi ganNenda katubu,
Moshi iwe na mzunguko Mkubwa wa hela toka lini?
mzunguko wa hela kwa maana ya biasharaMzunguko wa HELA kivipi
Mkuu hapo sipingi aisee, yani juzi kati nilitembelea mitaa Fulani ya Moshi, nilishangaa kuona Nyumba Kali za kifahari sana, nikatamani hayo majengo yangekuwa yanahamia DSM mitaa ya KEKO, mbagala, tandika, manzese .mzunguko wa hela kwa maana ya biashara
moshi muuza supu tu anamiliki nyumba Kali na bodaboda 2
SEMA tatizo wanawake wa huko historian ya tamaduni zao imewaharibu, kMku
Mkuu hapo sipingi aisee, yani juzi kati nilitembelea mitaa Fulani ya Moshi, nilishangaa kuona Nyumba Kali za kifahari sana, nikatamani hayo majengo yangekuwa yanahamia DSM mitaa ya KEKO, mbagala, tandika, manzese .
Moshi pako juu bwana
n kweli mkoa Kilimanjaro mijumba ya maana vijiin na wamepangilia makaz vixur utadhan ulayaMku
Mkuu hapo sipingi aisee, yani juzi kati nilitembelea mitaa Fulani ya Moshi, nilishangaa kuona Nyumba Kali za kifahari sana, nikatamani hayo majengo yangekuwa yanahamia DSM mitaa ya KEKO, mbagala, tandika, manzese .
Moshi pako juu bwana
Chama gani mkuu?Kil imekuwa redio ya chama siku hizi
Hahah aisee kitambo sijawasikiaSaivii wako na hii....Radio Kili FM ni Motoooooooooooooooooo