Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
clouds wapuuzi sana...hasa wale akina luambano wanaharibu kipindi cha michezo nowadays
Ndo nn hii clouds?
vipindi vyote vinaboa sana zamani nilikua nasikiliza sana kama power breakfast ,jahazi, na sport extra lakini kutokana na matangazo kuzidi kidogo nimebakisha michezo na yenyewe ni lle ya kimataifa .KUNA WATU KAMA BABRA NA GERALD HANDO NAFIKIRI WAO WANALIPWA PESA YA ZIADA MAANA KIPINDI KIZIMA NI MATANGAZO badilikeni jamani mtazid kupoteza wasikilizaji
Hivi hii Clouds Fm & Tv zinamilikiwa na NANI???
Unaishi Tanzania???
mbeya!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi Mbeya iko Malawi au Zambia??
Mimi nlidhania ya kuwa ni mimi tu ninayekereka na utitiri wa matangazo ... isingekuwa ni mke wangu anapenda kusikiliza hiyo radio ningekuwa nimeshaisahau siku nyingi .... yaani ni shidaaaaWana JF,
Kila mtangazaji ndani ya Redio Clouds anafanya matangazo ya biashara. Tangazo linapigwa na kisha mtangazaji analirudia tena na tena...Kulikoni??? Au nyie mnalipwa tofauti na wenye makampuni???
Napenda sana kusikiliza kipindi cha michezo "Sports Extra" lakini nacho siku hizi ni matangazo tuu mwanzo mwisho. Hakika mnaboa sana!!
Najua mnategea matangazo kama faida lakini tangazo likisha chezwa kama lilivyo haina haja mtangazaji kulirudia tena yeye kama yeye. Watangazaji wote wa Clouds ni Maafisa Masoko wa kampuni tofauti tofauti.
Badilikeni Clouds Fm mnapoteza ladha sasa.
Mandla,
Wa Dodoma.
Hivi Mbeya iko Malawi au Zambia??