Za leo ndugu wapendwa,
Jamani mimi ni mpenzi wa kusikiliza redio za home maana huku nilipo tunasikilizia kupitia internet! Sasa nimekuwa nikisikiliza sana clouds ila inacho ni boa ni hayo matangazo kuja kuja kila wakati wa airtime! je kuna njia yoyote ya kuyakwepa? Pia je, ipo Radio nyingine zaidi online kama clouds.
Thanks for your continued cooperation.