Japokuwa najua ni redio ya kidaku zaidi, ila ni vyema Clouds FM kuwa makini wanapotoa habari zenye umuhimu na maslahi ya Taifa.
Najua kuna mambo mengi tu wanayamislead, ila hapa nitatolea mfano mambo mawili waliyotokea hivi karibuni,
1. Wakati wa mabomu ya Gongo la Mboto, Clouds fm wakatangazia umma ya kuwa Mabomu yanalipuka katika kambi ya Mkuranga.
2. Ilipotokea ajali ya 5 Star maeneo ya Morogoro, clouds fm wakangazia umma kuwa ajali imetokea maeneo ya Kibaha.
My concern ni kuwa kama hawana uhakika wa tukio si waseme watalitolea maelezo ya kina watakapopata uthibitisho wa habari. Huu ni ukiukwaji wa taratibu na taaluma ya uandishi wa habari.
:smow::smow::smow::smow::smow: