Clouds FM kuwaita wazanzibari mashoga ni sawa kweli??

Clouds FM kuwaita wazanzibari mashoga ni sawa kweli??

Wanandugu nimepokea hii msg imenishtua sana kutoka kipindi cha jahazi kupitia Arnold Kayanda, msikilize sasa anaelezea clouds fm

""kwetu sie wazanzibar ushoga sio tatizo ati(usipaniki hii sentensi haijakamilika ) sikiliza jahazi tuimalizie yalllahh? Kweli ndugu yetu ni muungwana kweli kuwaita wenzetu majina haya? Tunaamsikiliza sheni anapokataa kamwe aliotaruhusiwa Zanzibar.
ni upotoshaji kutafsiri ushoga ni usenge
 
analipizia sugu alipowaambia ni radio ya Mashoga
Leo hii sugu kapatana nao na hadi interview sasa ivi anahudhuria, rejea clouds 360 interview na sugu!! au sugu hakuwa na ushahidi?? muda
 
Back
Top Bottom