Clouds FM kufungiwa?

Wanajamvi Clounds ina identity yake ndio maana imefanikiwa pamoja na mapungufu kibao.

Tusitake kuona clouds inakuwa too much official kama TBC. Wengine watakuja wanasema hapa inaboa na hakuna ubunifu. May be watangazaji wa Clouds wana uhuru zaidi kuliko vituo vingine. Kuna faida na hasara zake but tusisahau every decision ina compromise.

katika kuwin market ya bidhaa yoyote identity ni kitu muhimu kitu ambacho kwenye media radio Clouds wana identityyao japo kuna mapungufu.

naamina makapuni mengi yakitakiwa kupunguza bajeti zao za promo radioni watakoanza kukosa wateja ni Radio One, RFA, etc. clouds itakuwa ya mwisho kutoswa

nakumbuka lile tangazo lao la
"baba naniiiiiiii usiiitoe hapo ilipoooooo ndo mahala pake"

Teh teh
 
Clouds waseme sababu ya kuandaa birthday ya jk ilikua ni nini?pesa zimewazidi au kuwa karibu na mheshimiwa ili wapate tenda zaidi za malaria haikubaliki kwa chandarua na muziki au?
 

TCRA hawawezi kuifungia clouds fm hasa ukizingatia hiyo ni toto ya uhuru fm kwa yule mama mdogo 'ufisadi'
so how this can be? Kikwete and his CCM mate thy know it
 

Hapo pekundu.

Kwa bahati mbaya kupendwa kwa kitu hakuashirii ubora/umaana wa kitu hicho kinachopendwa. Kwa mfano ukikuta mhubiri (awe muislamu/mkristo n.k) anatoa neno watu wengi watapita tu bila hata kujihangaisha kumsikiliza. Subiri mtu aanze kumwaga mitusi hapo hapo uone watu watakavyojazana kusikiliza!!

Ndio maana magazeti ya udaku yananunuliwa sana kuliko Business Times
 

Kipindi cha michezo kinalipa mimi huwa nasikiliza
 

Hilo lakuwa nawateja wengi,ubunifu wao sio tatizo kwetu ila shida ni huyu mtu wakujipendekeza KIBONDE ukimtoa huyu Clouds FM Saaaaaaaaaa...fiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…