Clouds Fm ina nini?

Clouds Fm ina nini?

Dada mimi sibishani ila sipendi tabia ya mtu kukurupuka na kuanza kulitolea maelezo au kupinga jambo hata asilolijua.

Na wewe uwe unajieleza sawasawa unajua karibu kila kanda kuna mitambo sasa ulisema uko eneo gani watu dar ngoma kama kawa
 
Kwani kila mkoa Clouds wana matangazo tofauti? Zile mitabend wanazotaja si frequency za kusikilizia tu ila matangazo ni mamoja?. Ndio maana huwa wanachangia watu wa mwanza,kigoma,tanga,arusha,iringa nk mada moja!
Ktk maisha yako epuka kutoa majibu ya jumla jumla,unajua clauds wana kanda ngapi za matangazo yao?
Ok,huku Arusha tangu jana ni miziki tu lete majibu kama unayo.
 
Kwani kila mkoa Clouds wana matangazo tofauti? Zile mitabend wanazotaja si frequency za kusikilizia tu ila matangazo ni mamoja?. Ndio maana huwa wanachangia watu wa mwanza,kigoma,tanga,arusha,iringa nk mada moja!

Arusha wana ka studio kinarusha matangazo. Huwa wanakata matangazo ya dar na kuchomeka ya kwao hapo studio ya arusha.

Nenda mawingu club unaweza pata ufafanuzi zaidi manake ndio wanahusika na matangazo yanayotokea hapo arusha.

Clouds ndio walioihujumu radio uhuru wakakimbia na mitambo kutoka arusha kwenda dar. Sidhani kama wanaweza kuunganika tena. Sana sana tutegemee kuskia wamebadilisha frequency za arusha.
 
Wana liredion lao moja linaitwa choice fm. Playlist yao ya nyimbo ni ile ile kila siku. Wanarudia nyimbo hizohizo daily
 
Nadhani kila media ina page zake kwenye hizi social media, (fb, twitter n.k) jaribu pia kucheck nao huko mdau
 
nimegundua wote wanaiponda clouds ndo wasikilizaji wakubwa wa redio hii....acheni unafki wa kuiponda clouds humu jukwaan wakati vyumbani mwenu mnasikiliza clouds.... CLOUDS FM The peoples station!..
 
Kuna mdau mmoja humu anapenda kusema MITANZANIA NDIVYO TULIVYO.
 
nimegundua wote wanaiponda clouds ndo wasikilizaji wakubwa wa redio hii....acheni unafki wa kuiponda clouds humu jukwaan wakati vyumbani mwenu mnasikiliza clouds.... CLOUDS FM The peoples station!..

UMEMALIZA KILA KITU na HUO NDIYO UKWELI WENYEWE na TUACHE UNAFIKI na UZANDIKI. Radio Nyingi Zinasubiri Kwa Clouds FM Japo na Wao Wana Changamoto ambazo Zinarekebishika Endapo Na Wao Watakubali Kurekebishika na Tusisahau Kuwa Contents Nyingi Za Redio hii Ni Haswa Youth Oriented na Target Yao Kubwa Ni ktk Cities na Wamefanikiwa Sana. Mnasema Kuwa Redio Yenyewe ni Pro CCM mara Kibonde ni Mnafiki ila Naomba Mniambie ni Redio Gani hapa Tanzania Haijipendekezi Kwa Serikali au Waandishi Wake Hawana Kimbelembele Kwa Utawala Uliopo? Mbona Hamzungumzi Waandishi Wale wa Redio One Na Yule Wa Gazeti Walioteuliwa Wakuu Wa Wilaya? Je hao Hawajipendekeza Kwa Serikali? Tizama Kila Alhamisi Kipindi cha Kipima Joto ITV Na Angalia Studioni Wakiwemo Watu Hawa Fatma Almasi Nyangasa na Magreth Cosmas Kisha Akijitokeza tu Mtu Anaisema Vibaya Either CCM au Serikali Utawaona Wanavyowakatisha na Hata Kuwapiga Mkwara Wachangiaji Kwa Kuwaonya. Sidhani Kama Kuisema Pekee Clouds FM Kuna Tija Vinginevyo Ninachokiona Ni Unafiki na Chuki Zisizo na Mashiko Yoyote. Hakuna Media Hapa Tanzania Ambayo Haina Madhaifu Yake Ukianzia ktk Public Owned, Private Owned, Community Owned, Institution Owned na Structural Adjusted or Alternative Owned Radio Stations na Kama Wadau Tunachotakiwa Kufanya Ni Kuziunga Mkono Pale Zinapofanya Vizuri na Pia Ndugu Zangu Humu JF Hebu Tujifunze Kufanya Kitu Kiitwacho Critique Nikimaanisha Kwamba Tusipende tu Kukimbilia ktk Kutoa Kashfa badala Yake Tuelezee Mafaniko Ya Jambo au Kitu Fulani Lakini Palipo na Changamoto au Madhaifu Tuziseme Kwa Mtazamo wa Kujenga Zaidi na Si Kurudishana Nyuma. Ni Hayo Wana JF Wenzangu and I am Stand to be Corrected.
 
Gentamycine kwel ulivyoojiita n xawa maana ww n Dawa na kwel unatibu kila cku clouds wakt radio zpo kibao vipnd vyao n vibov hkn mfno kwnn mcwafnye na wao! Wawe gumzo kam clouds
 
UMEMALIZA KILA KITU na HUO NDIYO UKWELI WENYEWE na TUACHE UNAFIKI na UZANDIKI. Radio Nyingi Zinasubiri Kwa Clouds FM Japo na Wao Wana Changamoto ambazo Zinarekebishika Endapo Na Wao Watakubali Kurekebishika na Tusisahau Kuwa Contents Nyingi Za Redio hii Ni Haswa Youth Oriented na Target Yao Kubwa Ni ktk Cities na Wamefanikiwa Sana. Mnasema Kuwa Redio Yenyewe ni Pro CCM mara Kibonde ni Mnafiki ila Naomba Mniambie ni Redio Gani hapa Tanzania Haijipendekezi Kwa Serikali au Waandishi Wake Hawana Kimbelembele Kwa Utawala Uliopo? Mbona Hamzungumzi Waandishi Wale wa Redio One Na Yule Wa Gazeti Walioteuliwa Wakuu Wa Wilaya? Je hao Hawajipendekeza Kwa Serikali? Tizama Kila Alhamisi Kipindi cha Kipima Joto ITV Na Angalia Studioni Wakiwemo Watu Hawa Fatma Almasi Nyangasa na Magreth Cosmas Kisha Akijitokeza tu Mtu Anaisema Vibaya Either CCM au Serikali Utawaona Wanavyowakatisha na Hata Kuwapiga Mkwara Wachangiaji Kwa Kuwaonya. Sidhani Kama Kuisema Pekee Clouds FM Kuna Tija Vinginevyo Ninachokiona Ni Unafiki na Chuki Zisizo na Mashiko Yoyote. Hakuna Media Hapa Tanzania Ambayo Haina Madhaifu Yake Ukianzia ktk Public Owned, Private Owned, Community Owned, Institution Owned na Structural Adjusted or Alternative Owned Radio Stations na Kama Wadau Tunachotakiwa Kufanya Ni Kuziunga Mkono Pale Zinapofanya Vizuri na Pia Ndugu Zangu Humu JF Hebu Tujifunze Kufanya Kitu Kiitwacho Critique Nikimaanisha Kwamba Tusipende tu Kukimbilia ktk Kutoa Kashfa badala Yake Tuelezee Mafaniko Ya Jambo au Kitu Fulani Lakini Palipo na Changamoto au Madhaifu Tuziseme Kwa Mtazamo wa Kujenga Zaidi na Si Kurudishana Nyuma. Ni Hayo Wana JF Wenzangu and I am Stand to be Corrected.

Nakubaliana na wewe, ila tatizo kubwa la clouds na especially Jahazi ni Kibonde na open orientation yake, mbona PB wanabeba na ambapo hapafai wanamwaga? Kibonde hata kitu ambacho ni very obvious so long it touches bwana wake ataingilia. I opted to listen to Clouds in the morning na jioni ni east africa mpaka nafika nyumbani, kuna bwana mmoja anaitwa Sebastian huwa ananifurahisha sana, educative and entertaining with very nice songs, porojo na encyclopedia feki ya Kibonde nilishaipigaga chini long long time, try it and you will never regret!
 
Back
Top Bottom