Clouds Fm ina nini?

Clouds Fm ina nini?

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Tangu jana mchana ni miziki mfululizo hakuna program hata moja ya vipindi vyake vya kawaida inayoendelea.
Ni mziki mwanzo mwisho
Ni tatizo au wamefukuza watangazaji wote?
 
clauds Fm ni kituo kipya ama? au ndo ileile Clouds??
 
Tangu jana mchana ni miziki mfululizo hakuna program hata moja ya vipindi vyake vya kawaida inayoendelea.
Ni mziki mwanzo mwisho
Ni tatizo au wamefukuza watangazaji wote?

acha KICHAA na WEHU ww jana mbona tumeskiliza jahazi, amplifier ,sports extra
 
acha KICHAA na WEHU ww jana mbona tumeskiliza jahazi, amplifier ,sports extra

Ktk maisha yako epuka kutoa majibu ya jumla jumla,unajua clauds wana kanda ngapi za matangazo yao?
Ok,huku Arusha tangu jana ni miziki tu lete majibu kama unayo.
 
Ktk maisha yako epuka kutoa majibu ya jumla jumla,unajua clauds wana kanda ngapi za matangazo yao?
Ok,huku Arusha tangu jana ni miziki tu lete majibu kama unayo.

yeye ndo kakosea bz ingetakiwa aseme yuko kanda gani?
 
sasa mnabishana hadi saa ngapi wenyewe wametulia wala hawatoi tangazo lolote
nyie makoo yanawapanda na kuwashuka ovyo mtadhani mmewekewa morta kooni?
 
Dada mimi sibishani ila sipendi tabia ya mtu kukurupuka na kuanza kulitolea maelezo au kupinga jambo hata asilolijua.
 
Mimi siwezi kusikiliza radio ya kibonde nenda fb kuna wasikilizaji wengi wa hii radio ya kijinga wanaweza kutatua tatizo lako
 
Back
Top Bottom