Clouds FM acheni Utoto

NasDaz declare interest kwanza!!!! Hilo povu unalotoa haliwasaidii bali ndio unazidi kuwadumbukiza shimoni hata yesu alisema "hakika nawaambieni kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake,wote watatumbukia shimoni,unawezaje kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati wewe una li-bolt jichoni mwako?"
 
Last edited by a moderator:
morning magic- magic fm -HABARI, sports headquarter na e sport- E-fm-MICHEZO, kwa upande wa burudani ya muziki ni E-fm. over, hiyo clouds hadi nishaisahau
 
Utoto unaozungumzwa ni wa ku-mute kipande alichoimba Jay Dee kwahiyo lazima tuangalie source ni kwanini imetokea hivyo!

Hakuna asiyejua kwanini wamefanya hivyo ila ishu kufanya hivyo ni utoto,labda mada ingekuwa inahoji kwanini clouds haipigi nyimbo za Jay dee hapo kweli ndiyo tungezungumzia beef lao ambalo imefikia hadi mwenyewe Jay dee kusema nyimbo zake zisipigwe clouds.
Lakini wanapiga nyimbo ambayo Jay dee ameshirikishwa halafu et ifike sehemu ya chorus wa-mute,sasa si bora wasipige kabisa hata nyimbo ambazo Jay dee ameshirikishwa.
 
nilikuwa msikilizaj wao mzur tu pamoja na lawama walzokuwa wakipewa
Niliachana nao walipoacha kukifanya kile wanachokiweza #BURUDANI na kujiingiza kwenye siasa za #MAJI TAKA kuipromote ccm utashani wanampromot msanii,hapo ndipo nilipo funguka macho na kuona upuuzi wao mwingi
 

nimekupata mkuu sasa hili suala wanatakiwa wote wakae chini wayamalize hakuna marefu yasiyo na ncha dunia ni mapito tujifunze kusamehe.
 
Wakati wao utafika hawa siku wakija kukosa wasikilizaji ndio watajua kosa wanalolifanya sasa hivi...
 
Ni mara ngapi imepata kutokea msanii kufuta mistari aliyomshirikisha msanii mwenzake kwa ajili ya haya mabifu? Mwana-FA mwenye wimbo wake ana bifu na Lady Jay Dee... what if hata Mwana-FA mwenyewe hapendi mistari aliyoimba Jide isikike kwenye nyimbo zake? That's one, but the issue ni kwamba, as long as Jay Dee ametangaza hadharani hataki utangazaji wowote ule kutoka Clouds, including kifo chake, then inabidi apokee hata hilo la kuwa muted kwenye nyimbo alizoshirikishwa!!! Ndio maana nikauliza, kutopiga nyimbo zake ni sawa lakini nyimbo alizoshirikishwa, sio sawa! Kama si maajabu tuite nini haya??
 
nimekupata mkuu sasa hili suala wanatakiwa wote wakae chini wayamalize hakuna marefu yasiyo na ncha dunia ni mapito tujifunze kusamehe.
Jay Dee mwenyewe alitamka hadharani kwamba hataki suluhu! Unajua hapa watu wanaongea tu kwavile wanachuki zao na Clouds tangu zamani! Wakati hili bifu linaanza, Clouds walikuwa wanapiga nyimbo zake kama kawaida! Waliacha kuzipiga baada ya Jide mwenyewe kutangaza kwamba Clouds waache kupiga nyimbo zake... na akaenda mbali zaidi na kusema hata akifa, wasitangaze habari za kifo chake na Ruge pamoja na Kusaga wasihudhurie kwenye msiba wake!!! Kabla hajafkia kutamka yote hayo, Ruge alikuwa anatoa rai ya kukutana ili wayamalize waangalie tatizo lipo wapi... Jide akakataa na badala yake akawa anaendelea kutoa kashfa.
 
Watanzania wana tabia ya kujitoa ufahamu makusudi.

Jay dee alitoa kashfa kubwa sana kwa CLOUDS. HATA HZO NGOMA ALIZOSHIRIKISHWA ZINACHEZWA KIMAKOSA.
 
Wakati wao utafika hawa siku wakija kukosa wasikilizaji ndio watajua kosa wanalolifanya sasa hivi...
Sugu na microphone yake na jukwaa la kuongelea, akatoa album mzima ya kuwatukana Clouds lakini Clouds ipo pale pale... hizo ni dua za kuku tu!!!
 
Kutopiga nyimbo za wasanii ndo "kusambaza upendo"
 
nimekupata mkuu sasa hili suala wanatakiwa wote wakae chini wayamalize hakuna marefu yasiyo na ncha dunia ni mapito tujifunze kusamehe.

Wakae kuyazungumza ili iweje? Yote kukufurahisha wewe? Hahaha wabongo hamuishi vituko. Jide keshakula yamini kuwa hata akifa wasikanyage, na wakionekana msibani kwake wapigwe mawe sasa unaanzia wapi kujikomba kwa mtu wa namna hiyo? Acha utoto wewe.
 
Sugu na microphone yake na jukwaa la kuongelea, akatoa album mzima ya kuwatukana Clouds lakini Clouds ipo pale pale... hizo ni dua za kuku tu!!!
Acha zako hizo mkuu unafikiri kuna chenye mwanzo kisicho na mwisho?mwisho wake ni pale sisi watazamaji ambao ndio wadau tukaposema basi.
 
Acha zako hizo mkuu unafikiri kuna chenye mwanzo kisicho na mwisho?mwisho wake ni pale sisi watazamaji ambao ndio wadau tukaposema basi.

Sidhani kama wewe uko tayari mtu aje atapanye kinyesi ofisini kwako, eti vile tu unatoa public service.

??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…