CLOUDS hawataki kupoteza muda na wavuta bangi!

Ukishindana na mtu kama Sugu atakushusha kwenye level yake ya bange halafu akushinde kwa experience yake ya kuwa mtumiaji mzuri wa bange.
Sugu ni wa kupuuzwa.

Hivi yule mbunge wa kuteuliwa ccm shyrose banji huwa anatumiaga nini vile na hichi anachotumia si ndio.serikali inatafuata mchawi.kwa nini wasianze na huyu ili kusaidia police kama kweli wanapambana na mihadarati manafiki utawajua tu kwa matendo yao.
Ww ni k.m. Mussa Alan,chuki za kisiasa ulizonazo unazipeleka hadi kwny vitu visivy vya siasa.Haki ya nani nikikupata lazima nikupumulie kwa nyuma nikufumue huko nyuma
nilijua ngumi kumbe stori tu..Umofia kwenu wana JF,
Jana kwenye kipindi cha Clouds TV walikuwa wanafanya mahojiano na Faiza Ally(Aliyekuwa mzazi wa sugu).Cha kushangaza ni kwamba kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna sehemu yeyote walilitaja jina la sugu ingawa faiza alilitaja vizuri ila clouds wamekata sehemu zote alizotajwa.Navyojua Clouds wanapenda kutaja watu kwa skendo lakini kwa sugu wamesanda maana kile kipindi kingeenda kama kilivyo mziki wa sugu ungekuwa mzito zaidi ya ule wa ant-virus 2011 maana uliwashusha sana na ndio maana clouds wakaona wasilianzishe.Safi sana sugu hakika Clouds Nzima wanakuogopa.
CLOUDS hawataki kupoteza muda na wavuta bangi!
Ukishindana na mtu kama Sugu atakushusha kwenye level yake ya bange halafu akushinde kwa experience yake ya kuwa mtumiaji mzuri wa bange.
Sugu ni wa kupuuzwa.
Umofia kwenu wana JF,

Ni kweli ila wanamuda mwingi na mashoga.Na wewe ni mwanachama
'Umofia' ndo lugha gani hiyo? Rekebisha lugha yako kwanza.