King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,371
- 88,585
Umofia kwenu wana JF,
Jana kwenye kipindi cha Clouds TV walikuwa wanafanya mahojiano na Faiza Ally(Aliyekuwa mzazi wa sugu).Cha kushangaza ni kwamba kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna sehemu yeyote walilitaja jina la sugu ingawa faiza alilitaja vizuri ila clouds wamekata sehemu zote alizotajwa.Navyojua Clouds wanapenda kutaja watu kwa skendo lakini kwa sugu wamesanda maana kile kipindi kingeenda kama kilivyo mziki wa sugu ungekuwa mzito zaidi ya ule wa ant-virus 2011 maana uliwashusha sana na ndio maana clouds wakaona wasilianzishe.Safi sana sugu hakika Clouds Nzima wanakuogopa.