Clouds 360? more like Clouds 180!

Clouds 360? more like Clouds 180!

Azam tv na tv zake zote wameamua kuwa machawa, clouds na kipindi cha 360 ndio wamepotea kabisa, chanel ten na tbc ndio tv zao kabsa juko kutwa mapambio kidogo ITV wanaonesha ukomavu wao kwenye uwasilishaji wa habari nyeupe wanasema na vyekundu wanasema.
Itv wanasaidia kuibua changamoto
 
Kama wewe ni Mtanzania wa kutafuta habari ambazo ni balanced na zisizokuwa biased, basi usipoteze muda wako wenye thamani kuangalia hawa wa Clouds asubuhi.

Double Standard Fools!
Hivi mnapataje muda wa kuangalia local channels?
 
Azam tv na tv zake zote wameamua kuwa machawa, clouds na kipindi cha 360 ndio wamepotea kabisa, chanel ten na tbc ndio tv zao kabsa juko kutwa mapambio kidogo ITV wanaonesha ukomavu wao kwenye uwasilishaji wa habari nyeupe wanasema na vyekundu wanasema.
Mimi nilishaacha siku nyingi kuabgalia na kusikiliza hizo local channels, hawana jipya
 
Back
Top Bottom