Mkuu hilo bichwa kwenye avatar ni lako au mdogo mtu !??Huyu Ngoma ndo yule aliyesema graduate wakauze ice cream ili wakalipe loan board?
Langu ilo umenitambua nn?Mkuu hilo bichwa kwenye avatar ni lako au mdogo mtu !??
Mbona alitaka ubunge kama amefanikiwa sema dewji labda lakini huyu hamna kituMfano watu waliofanikiwa kama David Mosha ataacha biashara zake akapinge soga clouds kisa kuna uhuru?
Kwa sherehe zipi katika kipindi hiki ....watu hawana ela hizo sherehe wanazifanyaje?(?Umemsahau Kibonde ana mradi wa u MC
Alisemaje?Hassan Ngoma nilimuona mjinga toka siku ya kwanza nilipomuona kwenye semina ya fursa shinyanga, wakati anajitambulisha alisema akija kuongea atatuelezea namna ya kuanzisha biashara with zero budget
Alichokuja kukiongea sitakaa nisahau ule muda nilioupoteza kwenye ule ukumbi
Anataka UDEDUmemsikia leo? Eti kafurahishwa na suti aliyovaa mheshimiwa Rais pale alipokuwa DART!!!!!!!!!!!
Ni la huyo mtangazajiMkuu hilo bichwa kwenye avatar ni lako au mdogo mtu !??
Kwenye ubunge matajiri hawafati hela isipokuwa na wanataka kuwa na access ya kulinda biashara zao, mfano ukiwa mbunge unaweza kumpigia simu direct PM lakini RC hawezi kumpigia direct PM mpaka aombe kwa katibu wake. Dewji, Rostamu, Abood wote hawa wanapesa lakini wanataka kulinda maslahi yao, pia sheria zinazotungwa lazima ziwe na unafuu kwenye biashara zao mkuu.Mbona alitaka ubunge kama amefanikiwa sema dewji labda lakini huyu hamna kitu
Hizo swaga za kizamani sio kipindi hiki....sasa hivi wafanyabiashara hamna kitu wanapumulia mrija. Hususani dizani hiyo waliozoea madili madiliKwenye ubunge matajiri hawafati hela isipokuwa na wanataka kuwa na access ya kulinda biashara zao, mfano ukiwa mbunge unaweza kumpigia simu direct PM lakini RC hawezi kumpigia direct PM mpaka aombe kwa katibu wake. Dewji, Rostamu, Abood wote hawa wanapesa lakini wanataka kulinda maslahi yao, pia sheria zinazotungwa lazima ziwe na unafuu kwenye biashara zao mkuu.
Kumbuka hawa jamaa ni watunga sheria na wapo chama tawala.Hizo swaga za kizamani sio kipindi hiki....sasa hivi wafanyabiashara hamna kitu wanapumulia mrija. Hususani dizani hiyo waliozoea madili madili
kweli Akili hana huyo hakuna kitu cha hvyoNa wewe utakuwa kilaza kuhudhuria semina ya namna hiyo, with zero budget? May be udalali/upiga debe/utapeli
Fursa yao ni kuwaonyesha wengine fursa.Hizo fursa wanazowaonyesha watu, kwa nini wasianze wao kwanza wafanikiwe na sisi tuige?