Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Tokea mheshimiwa Rais kujitambulisha katika kipindi hicho na hasa kuchukuliwa mtangazaji wake ,Hudson Kamoga, kuteuliwa kuwa katibu tawala huyu jamaa Hassan Ngoma anaota kupata uteuzi. Sidhani kama mheshimiwa Rais atafanya hivo tena licha ya kuwa ni mpenzi wa kipindi hicho. Ngoma jaribu kuchangia 'fairly' katika hoja.