King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,933
- 95,299
HaBari wana Jf
Tumekua tukitumia mtandao wa kijamii facebook na kuuona ni wa muhimu, Ila facebook imekua na restriction na bureaucracy za kimarekani kwasababu ni made in US. Tuachane na hayo, hayatuhusu, kikubwa ni kwamba wabongotunaweza pia kuwa na chetu ambacho kina maadili na bureaucracy za kibongo.
Ndiyo maana mimi nikaamua kuanzisha BongoBest, www.bongobest.com
Kama una wazo ama swali, Uliza.
Mchango wa kiufundi (php) pia unahitajika. (wasiliana, tuma pm mesej)
naona ushauri wa wadau umekaa sawasawa badala ya wewe kuanza kubishana na kutaka ionekane wewe ni mkali, ni vema ukaumiza kichwa ili hata wakati huu uko skonga unaweza tumia hio bongobest kama project yako, meanwhile ikawa source ya income na kukupa changamoto ili uysogee hatua kadhaa mbele. kwahio usikasirike hii project sio perfect inamapungufu ambayo yameonekana na ndio wadau wanakuambia. hivyo umiza kichwa.
YouR MoST UNhaPPy CuSToMers ArE YoUr GREateST SOurCE Of LEarNInG"- BiLL GaTEs hii ni signature ya TRAM ALMAS unaweza pia jifunza kupitia hiyo
sasa hii product sio yako umitengeneza kwaajili ya wadau na wadau ndo wanakupa maoni. Ikiwa hutaki maoni na kukosolewa ungeifungia chumban bt kama umeileta jamvini, sikiliza maoni ya wadau yawe challenge kwako sio kuji-defend kanakwamba hio project ni kwaajili yako peke yako.yes, bill was 100% right. And one more thing he also forgot to tell is that, after the critics of the unhappy customers, do what you intended. I hope you dont know what i intended. See this quote fron steve jobs, as he was telling his late night programmer................
HaBari wana Jf
Tumekua tukitumia mtandao wa kijamii facebook na kuuona ni wa muhimu, Ila facebook imekua na restriction na bureaucracy za kimarekani kwasababu ni made in US. Tuachane na hayo, hayatuhusu, kikubwa ni kwamba wabongotunaweza pia kuwa na chetu ambacho kina maadili na bureaucracy za kibongo.
Ndiyo maana mimi nikaamua kuanzisha BongoBest, BongoBest Community
Kama una wazo ama swali, Uliza.
Mchango wa kiufundi (php) pia unahitajika. (wasiliana, tuma pm mesej)
dah kijana unaona easy eeh jengo la facebook tu halifanani na wizara yoyote ya tanzania kwa ukubwa na wingi wa wafanyakazi. Unachokiona facebook ni product yao hawajatumia script za kudownload kama wewe. Nakushauri bora umiliki kablog kako kadogo tu
I see, umemkatisha tamaa.
ukweli mchungu ndo unaotibu japo unauma
Wabongo tatizo tunakatishana Tamaa sana, Hivi unadhani Mark zuckerberg alipata watu wenye majungu hivi? Alikuwa mwana chuo tu..! Ilitakiwakumpa ushauri wa nini chakufanya ilikufikia mafanikio. Na si kupiga majungu kama -_-_ Tutumie akili, Hata facebook ilianza na mmili mmoja na marafiki wakajiunga na kuunda team iliyopelekea mafanikio. Sasa marafiki wa sam ndio wapiga majungu na wakatisha tamaa
So hii ndio njia nzuri ya kumrekebisha mtu? chief-mkwawa