Hakika..mm nimechanganya na zangu ,kuriludi chuo kwaweza subiri kwanza
Umewaza nini comradeMwenye Ile clip ya siku Ile Kikwete ana simulia story ya mbayuwayu na
Ndo akatoa mseme huu maarufu umekuwa WA kila siku..
Akili za kuambiwa changanya na zako..
Naomba mwenye clip aiweke hapa..
Naona Kikwete ametupa urithi WA huu msemo utakao last mda mrefu kuliko vingi alivyofanya..
Jamaa alikuwa vizuri kwenye speech
Shukrani mkuu
Daaaaah jakaya bhanaaa
Poa poaIlikuwa kesho yake kuna mgomo wa wafanyakazi..ndo akawambia atakae goma shauri yake
Huo mgomo ulkosaga nguvu kidogo tu almanusra ungekubali. Sizan km upo mgomo utakaokuja kupangika vzuri km uleIlikuwa kesho yake kuna mgomo wa wafanyakazi..ndo akawambia atakae goma shauri yake
Yes naikumbuka hiyo story ya mbayuwayu noma kweli speech nzuri hata mie naitafuta.Asante lakini hii sio original..
Yenyewe ilikuwa hotuba alisimulia story ya mbayuwayu..ndege ilikuwa speech anazuia mgomo..wa wafanyakazi..