Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Aug 17, 2012 #1 Kwa wale wapenzi wa zile Movie za Kibabe natumaini mtakua mnawafahamu hawa jamaa yaani Clint Eastwood hapo kushoto kwako halafu na kulia kwako ni Samwel L. Jackson! Nani anabisha kama hawafanani na picha hizi hapa chini?
Kwa wale wapenzi wa zile Movie za Kibabe natumaini mtakua mnawafahamu hawa jamaa yaani Clint Eastwood hapo kushoto kwako halafu na kulia kwako ni Samwel L. Jackson! Nani anabisha kama hawafanani na picha hizi hapa chini?
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Aug 17, 2012 #2 Mimi nabisha, amua?:shetani:
Ellie Senior Member Joined Sep 2, 2011 Posts 123 Reaction score 15 Aug 17, 2012 #3 Hata mimi pia nabisha:israel:
Meritta JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 1,303 Reaction score 295 Aug 17, 2012 #4 una utani ww
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Aug 17, 2012 Thread starter #5 Angalia kwa umakini sana hii picha ya Clint Eastwood!
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Aug 17, 2012 Thread starter #6 Halafu ona hii ya Samwel L. Jackson!
brazilian JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 604 Reaction score 115 Aug 17, 2012 #7 Umenikumbusha Mzee Clint Eastwood katika picha yake ya zamani sana akiwa na Richard Burton -WHERE EAGLES DARE
Umenikumbusha Mzee Clint Eastwood katika picha yake ya zamani sana akiwa na Richard Burton -WHERE EAGLES DARE
brazilian JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 604 Reaction score 115 Aug 17, 2012 #8 pia walikuwa na the late Klaus Kinsk
conveter Senior Member Joined Jun 6, 2012 Posts 119 Reaction score 16 Aug 23, 2012 #9 Aisee man,kweli wanafanana na hizo picha hapo juu.