Clinical officer vs medical laboratory

Chuo gani please
 
Thank you soo Much ushauri wako umenisaidia sana. Thank you alot.
 
Shukraan sana
 
Shika adabu yako. Sikukulazimisha kunipa ushauri kama hukua na kitu cha kusoma bora usingeshusha suruali yako..maana ni kama vile umetumia njia nyingine kujibu na sio Mdomo.
 
Shika adabu yako. Sikukulazimisha kunipa ushauri kama hukua na kitu cha kusoma bora usingeshusha suruali yako..maana ni kama vile umetumia njia nyingine kujibu na sio Mdomo.
Sms Delivery
 
mim ni d bios zingine zote C unakuwaje
 
Ada mill 2+ ntawezea wapi kasomeni tu mtatukuta mtaa tushaga oa na maisha yanasonga
 
Nakushauri ufanye maamuzi usijiulize ulize
Angalia hapa
Orodha ya kozi za certificate na Diploma zilizojaa
 
You nailed it.
Acha kumdanganya banah

Dental tharepist na clinical officers ndio wana fursa ya kusoma Md huyo wa maabara labda awe ana sifa katika vyeti vya form six

Na wanaweza kusoma enviromental health wanaweza kusoma na pharmacy wanaweza kusoma mental health
 
Nimemdanganya nani?
 
Kuna baadhi ya kozi zimejaa vijana ombeni kozi ya clinical dentistry
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…