Clinical officer vs general agriculture

UKO SAHIHI....ILA HAWATAKUELEWA NDUGU......WATU SIKU HIZI WANAWAZA KUAJIRIWA TU.....MTU KILIMO ANAONA KAMA SIO KAZI YA KUMFANYA ATOKE....ILA MIMI NAAMINI KAMA UMESOMEA FANI FULANI UNAKUWA NA UELEWA MPANA ZAIDI JUU YA FANI HUSIKA...HATA S.U.A SIDHANI KAMA WANAFUNDISHA TU KUPANDA MBEGU NA KUVUNA MIAKA MITATU...............NI LAZIMA UTOKE NA TAALUMA IMEJITOSHELEZA TOFAUTI NA MTU AMBAYE ANAFANYA KILIMO KWA MAZOEA.....

TUSIDANGANYANE FANI ZA MEDICAL NI NZURI KWELI SKATAI NA HATA DEMAND BADO NI KUBWA NA HELA YA KUBADLISHA MBOGA UNAPATA............SHIDA NI

1)UNAKUWA LIMITED NA MUDA WA MWAJIRI

2)PIA IKUMBUKWE UGANGA NI WITO USITEGEMEE UKAWA NA HEKAHEKA ZA UJASIRIAMALI HUKU WAGONJWA/MWAJIRI ANAKUHITAJ

3)UTAKUWA NA JINA/MAARUFU LA DR.FULAN LAKINI KUMBUKA UMAARUFU BILA PESA NI MATESO MATOKEO YAKE UTAANZA KUISHI MAISHA YA KUIGIZA

4)UTAJIRI UPO KWENYE ARDHI.......SASA WEWE FIKIRIA MKULIMA AMBAYE HAJASOMEA ANATOKA WEWE ULIYESOMEA SI UTAFANYA VIZURI ZAIDI?

‘‘KILIMO PIA NI SAYANSI"

SIO KILA MTU ANAWEZA HUWEZ KULINGANISHA MKULIMA WA KAWAIDA NA ALIYESOMEA
.
 
Cha musingi frusa mm naona general iko vinzuri kwa kujiari haina haja kupangiwa kuingia kazn haina sheria ya kazi. Ni we we mwenyewe tuu unavyobehave ansaante
 
Sasa hapo ukifanya kazi kwenye mashirika means bado hujajiajiri
 
Sawa mtu yeyote anaweza kuwa mkulima hata kama hajaenda Shule ya kilimo

Lakini unadhani ufanisi wao wa kazi utafanana??

Maana wengi hulima kwa mazoea na kilimo kidogo sana,

Hudhani Shule ya kilimo itamfanya mtu alime kisasa na hata kuweza kufanya exportation ya kutosha nchi jirani na hata nje ya Afrika kutokana na ubora wa mazao anaozalisha?
 
Vyema sana

Unaonaje huko ulipo ktk kujiajiri kwako ukilinganisha na kuajiriwa?
Huku kwema sana kiongozi na naona matunda makubwa within short time ukilinganisha na wenzangu walioko ajirani sema huku kunahitaji nidhamu kubwa sana kuliko kuajiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…