Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

Ushauri mbovu, katika kozi ambazo hazina mchongo tena Tanzania basi pharmacy ni number 1 inazidiwa hata na IT! yes haina mchongo.

Pharmaceutical science haina limitations za kudahiri wanafunzi na vyuo vyote uvijuavyo vinavyotoa kozi ya pharmacy vina wanafunzi 400+ kwa level zote šŸ˜ hawa wanaenda wapi wakimaliza?

Nimehudhuria mahafali ya mwaka jana ya vyuo viwili UDOM na ST John vitabu vyao vya mahafali vimejaa mvua ya hao watu balaa
Yapo mtaani napishana nayo kila siku
Pharmaceutical science na pharmacy ni vitu viwili tofauti mshamba we!
 
uongo umetaja vyuo viwili vinavyotoa pharmacy nakuongezea List Bugando na Muhimbili ongeza viwili vikifika tuma na namba yako ya simu PM nitume hela kama havitafika basi acha makasiriko na Ma Pharmacist šŸ˜Ž
Yani unamaanisha ni vyuo vichache sana vinavyotoa kozi ya pharmacy Tanzania? šŸ¤”
 
Dah kweli mama FaizaFoxy Alikua sahihi kusema Kuna mnaoenda kusomea ujinga
Sasa unaweza ku-categorize hivyo vitu kweli?
Pharmacy is pharmacy

Yes kuna tofauti ndogo sana ya definition ila unajua masomo wanayofundishwa pharmacist wa Tanzania? Yani hafunzwi kutengenezwa dawa? Hafunzwi standardization?
 
Baada ya kupitia shauri za watu nimegundua wengi wetu hatuna habari za nje ya Tanzania. Fursa za nursing ni nyingi sana Canada, ulaya na australia. Ukimaliza hiyo course jitolee kwanza TZ huku ukipata uzoefu wa kazi na hapo hapo unaangalia kazi nje ya TZ na ndani, tumieni mitandao kwa kutafuta kazi na siyo mambo yasiyo na Tija. Tuache kusubiri mtu akuite. Tumia GOOGLE.
 
Sasa unaweza ku-categorize hivyo vitu kweli?
Pharmacy is pharmacy

Yes kuna tofauti ndogo sana ya definition ila unajua masomo wanayofundishwa pharmacist wa Tanzania? Yani hafunzwi kutengenezwa dawa? Hafunzwi standardization?
Kuna mfamasia huyu ni amesoma pharmacy BA
Kuna madogo wa pharmaceutical tech huyu ndo amesoma pharmaceutical sciences
Kuhusu masomo yao ain't well informed ila najua Ph shule pia ipo
 
Yani unamaanisha ni vyuo vichache sana vinavyotoa kozi ya pharmacy Tanzania? šŸ¤”
mzee kuna utofauti kati ya vyuo vinavyozalisha Pharmacists (Undergraduate) na Pharmaceutical technician (Diploma) nilisema vyuo vya pharmacists rejea post yangu
 
mzee kuna utofauti kati ya vyuo vinavyozalisha Pharmacists (Undergraduate) na Pharmaceutical technician (Diploma) nilisema vyuo vya pharmacists rejea post yangu
Muhimbili, Hubert Kairuki, St Joseph, UDOM, KIU, St Johns, DECA, Paradigms, Tabora health and allied science, Kigamboni allied science, RUCU, UoI, Uyole, St Gasper na matakataka ya mfano huu yooote tofauti yake ni ipi katika kutoa elimu ya pharmacy ukiachana na levels?
 
Back
Top Bottom