Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 326
- 627
I want to know kati ya Clinical Medicine na Nursing ipi nzuri kusoma kwa wakati huu?
Saafi nachukua hiii naona ni nzuriKwa mtazamo wangu hamna hata kilicho bora zaid ya mwenzie hapo zote ni 50 - 50.
Inategemea sana mhusika unataka nn na una malengo gani hapo bdae.
Kama una mpango wa kuajiriwa what if ukakosa ajira za serikal, maana vijiwe vya kitaa natumain utaweza kupata kwa kozi yoyote kati ya hizo ingawa kutokana na wahitimu kuwa wengi wa koz hizo (na nyingine za afya) kitaa utegemee mshahara kduchu tofaut na matarajio yako coz wahitim wapo wengi kitaa so demand imeshuka.
Je umewaza kujiajir kutokana na ujuzi wako wa afya kama mambo ya ajira hayajakaa poa, so anza pia kufikiria na kozi za kuweza kujiajir pindi umalizapo masomo yako kama Medical Lab na Pharmacy, Dental health in case ajira haijapatikana.
Sababu Nursing na CO haitoi nafasi ya kujiajir kibongo bongo.
Lakin pia Radiology ni koz ambayo kwa mtazamo naona bado ipo on demand kutokana na wataalam kuwa wachache.
#take it or leave it ni mtazamo tu!
Ushauri mbovu, katika kozi ambazo hazina mchongo tena Tanzania basi pharmacy ni number 1 inazidiwa hata na IT! yes haina mchongo.Kwa mtazamo wangu hamna hata kilicho bora zaid ya mwenzie hapo zote ni 50 - 50.
Inategemea sana mhusika unataka nn na una malengo gani hapo bdae.
Kama una mpango wa kuajiriwa what if ukakosa ajira za serikal, maana vijiwe vya kitaa natumain utaweza kupata kwa kozi yoyote kati ya hizo ingawa kutokana na wahitimu kuwa wengi wa koz hizo (na nyingine za afya) kitaa utegemee mshahara kduchu tofaut na matarajio yako coz wahitim wapo wengi kitaa so demand imeshuka.
Je umewaza kujiajir kutokana na ujuzi wako wa afya kama mambo ya ajira hayajakaa poa, so anza pia kufikiria na kozi za kuweza kujiajir pindi umalizapo masomo yako kama Medical Lab na Pharmacy, Dental health in case ajira haijapatikana.
Sababu Nursing na CO haitoi nafasi ya kujiajir kibongo bongo.
Lakin pia Radiology ni koz ambayo kwa mtazamo naona bado ipo on demand kutokana na wataalam kuwa wachache.
#take it or leave it ni mtazamo tu!
Saawa kaka nimependa mchango wako lakini naomba unisaidie swali langu lile la msingiUshauri mbovu, katika kozi ambazo hazina mchongo tena Tanzania basi pharmacy ni number 1 inazidiwa hata na IT! yes haina mchongo.
Pharmaceutical science haina limitations za kudahiri wanafunzi na vyuo vyote uvijuavyo vinavyotoa kozi ya pharmacy vina wanafunzi 400+ kwa level zotehawa wanaenda wapi wakimaliza?
Nimehudhuria mahafali ya mwaka jana ya vyuo viwili UDOM na ST John vitabu vyao vya mahafali vimejaa mvua ya hao watu balaa
Yapo mtaani napishana nayo kila siku
Watu wa namna hii unakuta hata la saba hawakumalizaUshauri mbovu, katika kozi ambazo hazina mchongo tena Tanzania basi pharmacy ni number 1 inazidiwa hata na IT! yes haina mchongo.
Pharmaceutical science haina limitations za kudahiri wanafunzi na vyuo vyote uvijuavyo vinavyotoa kozi ya pharmacy vina wanafunzi 400+ kwa level zotehawa wanaenda wapi wakimaliza?
Nimehudhuria mahafali ya mwaka jana ya vyuo viwili UDOM na ST John vitabu vyao vya mahafali vimejaa mvua ya hao watu balaa
Yapo mtaani napishana nayo kila siku
Acha kukatisha watu tamaa kiasi hicho. Juzi tu tunaona taarifa kuwa wafamasia ambao wako registered ni wachache sana. Kama sijasahau hawazidi hata elfu nne. Lakini ulivyotoa takwimu zako za wafamasia graduates mtu anaweza kuhisi kila nyumba tz kuna mfamasia. Cha msingi yeye aangalie moyo wake unapenda nini katika kozi afya. Awe vizuri kwa huo upande atakaochagua..halafu uone kama hatofanikiwa malengo yake.Ushauri mbovu, katika kozi ambazo hazina mchongo tena Tanzania basi pharmacy ni number 1 inazidiwa hata na IT! yes haina mchongo.
Pharmaceutical science haina limitations za kudahiri wanafunzi na vyuo vyote uvijuavyo vinavyotoa kozi ya pharmacy vina wanafunzi 400+ kwa level zotehawa wanaenda wapi wakimaliza?
Nimehudhuria mahafali ya mwaka jana ya vyuo viwili UDOM na ST John vitabu vyao vya mahafali vimejaa mvua ya hao watu balaa
Yapo mtaani napishana nayo kila siku
Jamaa kashakwambia "pharmacy haina mchongo inazidiwa na IT"Acha kukatisha watu tamaa kiasi hicho. Juzi tu tunaona taarifa kuwa wafamasia ambao wako registered ni wachache sana. Kama sijasahau hawazidi hata elfu nne. Lakini ulivyotoa takwimu zako za wafamasia graduates mtu anaweza kuhisi kila nyumba tz kuna mfamasia. Cha msingi yeye aangalie moyo wake unapenda nini katika kozi afya. Awe vizuri kwa huo upande atakaochagua..halafu uone kama hatofanikiwa malengo yake.
, maana sitak mjadala usio na tija ntasumbua vidole vyangu ku'type na huyoo mzee wa Takwimu**Degree ya nursing ❌Kwa mtazamo wangu hamna hata kilicho bora zaid ya mwenzie hapo zote ni 50 - 50.
Inategemea sana mhusika unataka nn na una malengo gani hapo bdae.
Kama una mpango wa kuajiriwa what if ukakosa ajira za serikal, maana vijiwe vya kitaa natumain utaweza kupata kwa kozi yoyote kati ya hizo ingawa kutokana na wahitimu kuwa wengi wa koz hizo (na nyingine za afya) kitaa utegemee mshahara kduchu tofaut na matarajio yako coz wahitim wapo wengi kitaa so demand imeshuka.
Je umewaza kujiajir kutokana na ujuzi wako wa afya kama mambo ya ajira hayajakaa poa, so anza pia kufikiria na kozi za kuweza kujiajir pindi umalizapo masomo yako kama Medical Lab na Pharmacy, Dental health in case ajira haijapatikana.
Sababu Nursing na CO haitoi nafasi ya kujiajir kibongo bongo.
Lakin pia Radiology ni koz ambayo kwa mtazamo naona bado ipo on demand kutokana na wataalam kuwa wachache.
#take it or leave it ni mtazamo tu!
Kuzipata ni kaz lasivyo kila mtu angeendaSoma Degree yA Nursing,ajira za Nursing ziko nyingi sana nnje yA Tanzania na hatuhitaji connection kuzipata hizo kazi.
Kuzipata Sio kazi Sema Watanzania hawaombi kazi za Nursing nnje yA TanZania.Kuzipata ni kaz lasivyo kila mtu angeenda
Anhaaa!! KuuumbeKuzipata Sio kazi Sema Watanzania hawaombi kazi za Nursing nnje yA TanZania.
Kozi za kusoma zitakazokusaidia kujiajiri na baadae kuajiri niI want to know kati ya Clinical Medicine na Nursing ipi nzuri kusoma kwa wakati huu?
Ushawahi kuugua kichaaa kijanaaUshauri mbovu, katika kozi ambazo hazina mchongo tena Tanzania basi pharmacy ni number 1 inazidiwa hata na IT! yes haina mchongo.
Pharmaceutical science haina limitations za kudahiri wanafunzi na vyuo vyote uvijuavyo vinavyotoa kozi ya pharmacy vina wanafunzi 400+ kwa level zotehawa wanaenda wapi wakimaliza?
Nimehudhuria mahafali ya mwaka jana ya vyuo viwili UDOM na ST John vitabu vyao vya mahafali vimejaa mvua ya hao watu balaa
Yapo mtaani napishana nayo kila siku

tena kilee kikalii cha mbwaaaDentist anajiajiri vipi?? Katika Course za afya zote nyepesi kujiajiri ni Pharmacy...Kozi za kusoma zitakazokusaidia kujiajiri na baadae kuajiri ni
1. Medical laboratory
2. Medical dentist
3. Kidogo pharmacist
Hizo zitakusaidia sana. Clinician na nursing utasubiria kutumwa tu.

Juzi tu tunaona taarifa kuwa wafamasia ambao wako registered ni wachache sana. Kama sijasahau hawazidi hata elfu nne.
Acha kukatisha watu tamaa kiasi hicho. Juzi tu tunaona taarifa kuwa wafamasia ambao wako registered ni wachache sana. Kama sijasahau hawazidi hata elfu nne. Lakini ulivyotoa takwimu zako za wafamasia graduates mtu anaweza kuhisi kila nyumba tz kuna mfamasia. Cha msingi yeye aangalie moyo wake unapenda nini katika kozi afya. Awe vizuri kwa huo upande atakaochagua..halafu uone kama hatofanikiwa malengo yake.