Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,531
- 59,567
Hakika Mkuu.Dunia imeharibiwa sana kwa tamaa za baadhi ya watu
Watu hawajali wala kuona madhara ya hali ya hewa wanavyoiharibu
Kuna siku wameweka clip ya kiwanda kimemwaga sumu na kutiririka na Ng’ombe wakanywa maji na kufa wengi
Halafu wanahonga na kazi zinaendelea
Kwa Kweli lockdowns hizi zimefundisha mengi sana na serikali nyingi kuona ushuhuda wa hewa ilivyokuwa Safi
Yaani Mumbai leo unaona mawingu
Na flamingo wametua kwa maelfu
Hapa nilipo serikali imetoa hela nyingi sana za kutengeneza njia za cycling kwa haraka sana na nchi zingine wanatoa bicycle bure
Wengine serikali inatoa 30% ya bei na service bure
Kweli tunaona hali ya hewa ilivyobadilika hasa huku kwenye nchi za viwanda vingi
Na ndege kuwekwa grounded hali ni tofauti kabisa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Unaweza kuthibitisha haya unayo yaandila hapa kama ni ya kweli ?Hizi athari za mvua kubwa pamoja na mafuriko ni moja wapo ya dalili za climate change.Kutokana na kuvurugika kwa mfumo wa Hydrological Cycle. Kwa sababu ya ongezeko la joto lilosababishwa na global warming linafanya ongezeko la evaporation process katika maziwa, mito, bahari pamoja na bwawa nakufanya ongezeko kubwa la maji katika atmosphere na baadae hayo maji ya kiundergo further process yanasababisha kitu kinachoitwa Heavy Rains. Heavy Rains ikikutana na bare land or surface automatically flooding inatokea.
Ni lini Global climate ilishakuwa static?..Haibadiliki?.Hizi athari za mvua kubwa pamoja na mafuriko ni moja wapo ya dalili za climate change.Kutokana na kuvurugika kwa mfumo wa Hydrological Cycle. Kwa sababu ya ongezeko la joto lilosababishwa na global warming linafanya ongezeko la evaporation process katika maziwa, mito, bahari pamoja na bwawa nakufanya ongezeko kubwa la maji katika atmosphere na baadae hayo maji ya kiundergo further process yanasababisha kitu kinachoitwa Heavy Rains. Heavy Rains ikikutana na bare land or surface automatically flooding inatokea.
Ni lini Global climate ilishakuwa static?..Haibadiliki?.
250 BC to 400 AD kulitokea ongezeko kubwa sana la joto barani ulaya,'The Roman Warm Period'.Kipindi hicho population ya dunia nzima haifiki 100 million,na wala kulikuwa hakuna industrial activities kama sasa.Je unaweza kuniambia kitaalamu hii ilisababishwa na wadadamu au nini?.Ifi not unawezaje kutuambia eti ongezeko la watu ndio linasababisha climate change watati climate has been changing since BC and AD's.
Climate Change haijawai kuwa static na haitakuja kuwa static kwa nn? Kama utarefer katika reply iliyopita wakati najibu swali lako la Roman Warm Period nilisema kwamba inawezekana ikawa imechochewa na Natural phenomenal.Ni lini Global climate ilishakuwa static?..Haibadiliki?.
250 BC to 400 AD kulitokea ongezeko kubwa sana la joto barani ulaya,'The Roman Warm Period'.Kipindi hicho population ya dunia nzima haifiki 100 million,na wala kulikuwa hakuna industrial activities kama sasa.Je unaweza kuniambia kitaalamu hii ilisababishwa na wadadamu au nini?.Ifi not unawezaje kutuambia eti ongezeko la watu ndio linasababisha climate change watati climate has been changing since BC and AD's.
mkuu nakufuatilia... bado haujasema namna ongezeko la binaadamu linavyo weza kusababisha climate change.Climate Change haijawai kuwa static na haitakuja kuwa static kwa nn? Kama utarefer katika reply iliyopita wakati najibu swali lako la Roman Warm Period nilisema kwamba inawezekana ikawa imechochewa na Natural phenomenal.
Hebu tuiangalie tena kidogo climate change nini? na sababu zake nafikiri itasaidia kufungua ubongo wetu kwa namna nyingine.
Climate Change: refers to any significant change in the measures of climate lasting for an extended period of time. Lakini kuna Natural Causes of Climate Change na Anthropogenic Causes of Climate Change.
Ahsante sana; Hili niweze kwenda kwa mpangilio mzuri na kila mmoja wetu kupata kile alichokikusudia kukipata katika mada hii ya Climate Change Is Real, ntatumia Maandiko Ya Kiimani Kidogo pamoja na Somo la Historia ya Mwanadamu (Evolution Of Man) hili kuweza kukumbushana tulipotoka na hadi hapa tulipofikia na kuweza kuona ni impact gani za kimazingira sisi kama Wanadamu tuliweza kuzisababisha kwanzia mwanzo wa maisha yetu mpaka hivi sasa?mkuu nakufuatilia... bado haujasema namna ongezeko la binaadamu linavyo weza kusababisha climate change.
Sawa dondosha hints hizoAhsante sana; Hili niweze kwenda kwa mpangilio mzuri na kila mmoja wetu kupata kile alichokikusudia kukipata katika mada hii ya Climate Change Is Real, ntatumia Maandiko Ya Kiimani Kidogo pamoja na Somo la Historia ya Mwanadamu (Evolution Of Man) hili kuweza kukumbushana tulipotoka na hadi hapa tulipofikia na kuweza kuona ni impact gani za kimazingira sisi kama Wanadamu tuliweza kuzisababisha kwanzia mwanzo wa maisha yetu mpaka hivi sasa?
kama dunia ilikuwa na mwanzo basi iko siku mwisho utafika ni swala la muda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari mkuu, nimeshapost katika thread ya juu. Karibu sanaSawa dondosha hints hizo
Global warming hakuna aliyesema kwamba haipo,tatizo hii nadharia nzima imeingiwa na siasa ndani yake,hata hao hao wansayansi wanakubali kwamba kuna siasa zimeingizwa ku exaggerate ionekane kwamba dunia inaisha kesho,.Kuna baadhi ya wanasiasa kule US kama Alex Orcasio Cortez,anadiriki kusema eti the world will end ni 12ears,na kuna watu wanaamini kabisa tena wasomi kweli...Hata ukitizama models mbalimbali zinazotumika ku record mwenendo wa joto kwenye atmosphere,Kuna European Model na Russian Model.Wanasayansi wanasema kuna uwezekano mkubwa European Model imekuwa Parameterized/Exaggerated ili kuifanya dunia ione joto linaongezeka kuliko miaka yote duniani..Russian model wanasema ina uhalisia na inaendana na hali halisi.Shida nyingine watu wanaamini Climate Channge inasababishwa na Global warming.Climate change is natural,kuwe na watu kusiwe na watu duniani,the climate will always change..,Japo kuna some sort of man made factors,lakini tusiwatishe watu eti climate change is always man made,,,..Hiki ndi huwa natofautiana na watu wengi kuhusu Climate change.
Je, unafikiri kipi kinacho sababisha utofauti kati ya European Model na Russian Model?Global warming hakuna aliyesema kwamba haipo,tatizo hii nadharia nzima imeingiwa na siasa ndani yake,hata hao hao wansayansi wanakubali kwamba kuna siasa zimeingizwa ku exaggerate ionekane kwamba dunia inaisha kesho,.Kuna baadhi ya wanasiasa kule US kama Alex Orcasio Cortez,anadiriki kusema eti the world will end ni 12ears,na kuna watu wanaamini kabisa tena wasomi kweli...Hata ukitizama models mbalimbali zinazotumika ku record mwenendo wa joto kwenye atmosphere,Kuna European Model na Russian Model.Wanasayansi wanasema kuna uwezekano mkubwa European Model imekuwa Parameterized/Exaggerated ili kuifanya dunia ione joto linaongezeka kuliko miaka yote duniani..Russian model wanasema ina uhalisia na inaendana na hali halisi.Shida nyingine watu wanaamini Climate Channge inasababishwa na Global warming.Climate change is natural,kuwe na watu kusiwe na watu duniani,the climate will always change..,Japo kuna some sort of man made factors,lakini tusiwatishe watu eti climate change is always man made,,,..Hiki ndi huwa natofautiana na watu wengi kuhusu Climate change.
factGlobal warming hakuna aliyesema kwamba haipo,tatizo hii nadharia nzima imeingiwa na siasa ndani yake,hata hao hao wansayansi wanakubali kwamba kuna siasa zimeingizwa ku exaggerate ionekane kwamba dunia inaisha kesho,.Kuna baadhi ya wanasiasa kule US kama Alex Orcasio Cortez,anadiriki kusema eti the world will end ni 12ears,na kuna watu wanaamini kabisa tena wasomi kweli...Hata ukitizama models mbalimbali zinazotumika ku record mwenendo wa joto kwenye atmosphere,Kuna European Model na Russian Model.Wanasayansi wanasema kuna uwezekano mkubwa European Model imekuwa Parameterized/Exaggerated ili kuifanya dunia ione joto linaongezeka kuliko miaka yote duniani..Russian model wanasema ina uhalisia na inaendana na hali halisi.Shida nyingine watu wanaamini Climate Channge inasababishwa na Global warming.Climate change is natural,kuwe na watu kusiwe na watu duniani,the climate will always change..,Japo kuna some sort of man made factors,lakini tusiwatishe watu eti climate change is always man made,,,..Hiki ndi huwa natofautiana na watu wengi kuhusu Climate change.