Cleopa Msuya - Stronger Than Power Itself

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,456
Huwa nikimuona huyu mzee, all i see is power, wisdom and wealth. Jamaa ni moja kati ya strongest, wisest, strategical and ethical statesman our Republic has ever had. Jamaa ametulia sana, ana busara na hekima nyingi - ni mtulivu (lowkey) by nature na ana kipaji cha uongozi. He has been a confidant to almost all our presidents in the downlow. Yani Marais wetu wao wenyewe wana vibifu vyao lakini the one thing they all have in common ni kuwa they all seek advise from Cleopa David Msuya. Apart from mambo madogomadogo ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo Cleopa Msuya is a rare kind of a leader. Ni role model to all current and future leaders and an archtype of a true statesman. Nakiwa mkubwa nataka nije kuwa kama huyu mzee!

Viva Cleopa Msuya, Viva!

images

images

images

images

images
 
Acha kutuyayusha....tunajua kuwa wewe ni mtoto wake ndo maana una mfagilia....... Ni mmoja wa mafisadi wakubwa ambao wametuweka tulipo sasa.... Karibu watoto wake wote wapo nje wanakula maisha....Mmoja ya mabinti zake yupo Minesota...ukiingia kwenye apartment anayoishi hutokaa uamini kama ni mtanzania na hana kazi ya ajabu kusema kuwa anapata pesa nzuri... zaidi ya kutumiwa na mzazi wake.... Sasa sifa unazompa ni za nini alilifanya ktk nchi yetu nasisi walalahoi tujivunie.
 
Huwa nikimuona huyu mzee, all i see is power, wisdom and wealth. Jamaa ni moja kati ya strongest, wisest, strategical and ethical statesman our Republic has ever had. Jamaa ametulia sana, ana busara na hekima nyingi - ni mtulivu (lowkey) by nature na ana kipaji cha uongozi. He has been a confidant to almost all our presidents in the downlow. Yani Marais wetu wao wenyewe wana vibifu vyao lakini the one thing they all have in common ni kuwa they all seek advise from Cleopa David Msuya. Apart from mambo madogomadogo ya kibinadamu ambayo kila mtu anayo Cleopa Msuya is a rare kind of a leader. Ni role model to all current and future leaders and an archtype of a true statesman. Nakiwa mkubwa nataka nije kuwa kama huyu mzee!

Viva Cleopa Msuya, Viva!

images

images

images

images

images

Lakuvunda halina Ubani!
 
Huyu mzee ndo aliyeleta hii style ya kila kiongozi akikwaa madaraka, anajenga kwao!! Mi hata simfagilii wala nini. Anyway, labda tupe werevu wake ili nasi tumfahamu zaidi ya tumjuavyo.
 
Mkuu Geophysics unanisifia bure sina sifa wala hela ya kuwa mtoto wa huyu Mzee.

Huyu Bwana aliwahi kuwa Waziri Mkuu. Nikiangalia mawaziri wakuu wetu na madudu wanayofanya. Nikaangalia na viongozi wetu wa siku hizi (kina Chenge na EL) huyu jamaa ni msafi na mwadilifu. Hayo machache mliyotaja ya kujenga kwao niambieni kama kuna rais au waziri mkuu yeyote ambae hakufanya? Nyie wenyewe given the chance mtajenga kwenu.

Issue ya kuwa tajiri ni unavoidable kwa mtu aliyekuwa waziri mkuu na waziri for more than 30 years. Whats important ni utulivu na uadilifu. Hebu mlinganisheni na statesmen wengine kama EL, Chenge, Pinda, Mwinyi, Kikwete nk. Jamaa hana any major scandals kama mzee Mkapa, Yona, Mramba (those are his peers).
 
Marehemu Sokoine alishamfungia safari na kikosi maalum cha mgambo wa mikingamo,Nyerere akamwambia atulize boli.Hii nimesikia juu juu,sijui kama ni kweli.
 
Mkuu Geophysics unanisifia bure sina sifa wala hela ya kuwa mtoto wa huyu Mzee.

Huyu Bwana aliwahi kuwa Waziri Mkuu. Nikiangalia mawaziri wakuu wetu na madudu wanayofanya. Nikaangalia na viongozi wetu wa siku hizi (kina Chenge na EL) huyu jamaa ni msafi na mwadilifu. Hayo machache mliyotaja ya kujenga kwao niambieni kama kuna rais au waziri mkuu yeyote ambae hakufanya? Nyie wenyewe given the chance mtajenga kwenu.

Issue ya kuwa tajiri ni unavoidable kwa mtu aliyekuwa waziri mkuu na waziri for more than 30 years. Whats important ni utulivu na uadilifu. Hebu mlinganisheni na statesmen wengine kama EL, Chenge, Pinda, Mwinyi, Kikwete nk. Jamaa hana any major scandals kama mzee Mkapa, Yona, Mramba (those are his peers).

Mkuu mi bado sijashawishika na huyu mzee kumuita mwadilifu kuliko wazee wingine wa enzi hizi. Huyu mzee alikuwepo na bado yupo wakati madudu yote yanafanyika. Sera ya ubinafisishaji mashirika ya umma huenda ndo naye alikuwa kinara wa kubariki hii biashara chafu isiyokuwa na mipaka hadi inchi inakuwa maarufu kwa kuomba omba. Anyway, its your view huenda umeamua kumpa shavu leo.

Usijuishe watu wote kuwa wakipewa nafasi watafanya madudu kama wanayofanya hawa viongozi wetu, kuna watu wana vision kubwa ya kuiona Tz inagenerate rules and regulation na nchi zingine zifuate, na hayo yote hayawezi kwenda sawia kwa uchizi wa kujipendelea kwa viongozi, kuchokonoa chokoa inshu za dini kutoka kwa wazungu na waarabu, kutotenda haki, kutokutoa mwelekeo wa nchi kwa watu wanaoongozwa. Bali kinyume cha hayo, kunafanya mtu afanye kazi, alipe kodi akijua mtoto wake atasoma shule nzuri, ataenda hospital na kutibiwa kwa sababu analipa kodi, atasafiri kwenye barabara nzuri isiyokuwa na risks zozote!
 
Ni mzuri lakini si kihivyo. uneweza kumlinganisha na wenzake kama sokoine, Salim, waryoba na kawawa?. bila shaka atakuwa wa mwisho. Angalia unapopost thread uwe na uhakika walau 10% ya unachokiandika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom