Cleopa Msuya awafuata Lowassa na Sumaye?


Hivi msuya naye hajui kama kilimanjaro kuna ukaskazini na ukanda. Au anatucheza shere tu
 
Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali

Nakushauri ukasome kwanza hilo gazeti, itakusaidia usiende off. Hata hivyo yaonekana kwako hakuna lingine zaidi ya ukanda. WAtz wana Uhuru wao, yeyote akipenda ataenda anakotaka yeye na sio wewe.
 
Nakushauri ukasome kwanza hilo gazeti, itakusaidia usiende off. Hata hivyo yaonekana kwako hakuna lingine zaidi ya ukanda. WAtz wana Uhuru wao, yeyote akipenda ataenda anakotaka yeye na sio wewe.

Usitoe sana povu.. Kumbe mnatupenda pamoja na kelele na chuki zenu hizo
 
Nyumbu haooooooooooooooooooooooo. Mmesahau Mh. Msuya ndiye aliyesema Lowassa anakivuruga chama huku wahusika hawamchukulii hatua yeyote. akashauri afukuzwe. Mh. Msuya ni mmoja wa wazee wastaafu waliopitisha azimio la kumkata fisadi mapema kabisa.
 
Usijifanye hujui 70% ya maafisa waandamizi Jeshi na Polisi ni kutoka huko Kaskazini..

Na ndio maana ujambazi na wizi unakuwa mkubwa nchi hii. Watu wenyewe hata nafasi ya kuzikana hamna makwenu,ni wakimbizi katika miji ya watu,ngojeni iko siku yenu mtajuta kututukana na kutudharau. Unajua kilichofanyika Afrika Kusini kwa wageni? Jaribuni tu muone cha moto
 
Ukabila na ukanda utawaua. Badala ya kuzungumzia utanzania mmekazana na northern empire lol. Wabaguzi nyie
 

Ajabu ni kwamba kila Mkaskazini huwa anaenda kuzikwa huko... Sasa hiyo nafasi sijui unaongelea ipi..
 
ingekuwa mlipakodi anaandikisha kabila tungejua vizu?r
 
mda si mrefu tunaanzisha North empire, ngoja nijiandae kuhamie.yaani wana arusha pamoja na jitihada za magufuli kukonga nyonyo za watanzania bado wamethubuti kumchagua lema! yaani wanaamini CCM yale anayofanya magu ni manzingaombwe

Uhaini huo mkuu
 
 

Dua la kuku. Mzaramo/Mkwere kazi zao ni ukonda na machinga basi. Na kwa sababu ya wivu hamtakaa muendelee sana mtaishia kuwa kama wagogo.
 
Dua la kuku. Mzaramo/Mkwere kazi zao ni ukonda na machinga basi. Na kwa sababu ya wivu hamtakaa muendelee sana mtaishia kuwa kama wagogo.

Na shida walizonazo eti ccm imechukua majimbo yote dom
 
Msuya ameenda kuimarisha ccm sio kahamma chama ni hasim wa el

Hii ni wishful thinking mkuu; wakitumia propaganda machinery ya Mengi. Msuya said nothing of the sort; alimfanyia Magufuli personal endorsement.
 
Nassari alisemaga wakati fulani kuashiria sera isiyo rasmi ya ukaskazini na kutaka . Just in.case ikifika hatua ya kujitenga huku mbeleni au wakipata wazo kama.hilo itakua kama vile nyerere alivyosema kuhusu Zanzibar ya wazanzibari na.wazanzibara. wachaga na ni dominant tribe na watagombana na wenzao wengine kwa umiliki wa rasilimali na fursa za uongozi wa juu. North republic itazaliwa kama south Sudan na.migogoro mapema. Baada ya hapo wachaga wenyewe wakiwamaliza maadui zao wengine ie masai, waarusha, wapate, etc etc watajikuta kua wenyewe tena siyo wamoja yaani hamna kabila linaloitwa wachaga na hapo zitachapwa Kati yao kwa wao. Wakija kushtuka kila mtu amehigawia kaeneo kake ka kukatawala kiukoo na.kiukabila na hapo ni mwisho wa northern dream ya kua taifa kama ambavyo imekuepo kwenye historia hata kabla ya uhuru.wa taifa hili kwa kupigiwa chapuo na elites wa Kilimanjaro
 
Usijifanye hujui 70% ya maafisa waandamizi Jeshi na Polisi ni kutoka huko Kaskazini..

hahahaha sasa mbona wanawaua sana full mabom ya machozi kaskazini mtakaa sana nchi hii haiendeshwi kwa ukabila wala ukanda
 

pumba tupu unajua ramani za mikoa ya mkoloni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…