johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Ahsante mkuu!mkuu ni gazeti la nipashe
Msuya ameenda kuimarisha ccm sio kahamma chama ni hasim wa el
Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali
Thubutu tukunyoe hutasahau!!
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi unaojitosheleza, ahsante!Hajawafuata kwa maana ya kuhama chama. Aliilamikia CCM na kuwataka kujitathimini kwanini chama hakikupata ushindi mkoani Kilimanjaro. Ametaja rushwa, ufisadi na uchakachuaji miongoni kwa viongozi wa chama.kama.sababu kuu. Amelalamikia viongozi wa CCM kwamba baadhi yao walichangia kwa kukihujumu chama.
Mi mmoja wapo!mda si mrefu tunaanzisha North empire, ngoja nijiandae kuhamie.yaani wana arusha pamoja na jitihada za magufuli kukonga nyonyo za watanzania bado wamethubuti kumchagua lema! yaani wanaamini CCM yale anayofanya magu ni manzingaombwe
Hakuna kuanguka mtini na kuteremka. Ukishaanguka chini tayari umeteremka!Hajawafuata kwa maana ya kuhama chama. Aliilamikia CCM na kuwataka kujitathimini kwanini chama hakikupata ushindi mkoani Kilimanjaro. Ametaja rushwa, ufisadi na uchakachuaji miongoni kwa viongozi wa chama.kama.sababu kuu. Amelalamikia viongozi wa CCM kwamba baadhi yao walichangia kwa kukihujumu chama.