Bwana ndugu, mimi sidhani kama ulifanya kazi chini ya CD Msuya kudraw hii conclusion ambayo naona ni mawazo binafsi.
Na je mtu akipeleka umeme kwao kuna dhambi gani, alimradi kulikuwa hakuna umeme-huko hakuna waTanzania wanaotaka umeme kama wananchi wa sehemu nyingine kama Kisarawe ,Kishapu au Kiteto?
Tuache kutetea sera za kimaskini.
Mtu kwao.
Nasema hivi kwa vile mimi si Mpare lakini sioni kosa la kupeleka umeme unaozalishwa Nyumba ya Mungu na unapita juu kwa juu barabarani.
Msuya kiongozi mzuri na wengine wote. Sioni kwa nini anaingizwa Kikwete humu; kwanza Msuya hata afanye nini hamfikii Kikwete, kwa sababu kikwete Ni RAIS, na akimaliza anakuwa RAIS MSTAAFU.
Kumkashifu kikwete ni kuwakashifu waliompigia kura.
Tusiende huko kwa sasa. tubaki na CD MSUYA, Amekubaliwa.
Mie pia nimemkubali; kapeleka umeme mwanga, Bunda kuna nini?
Chenge hela za rada kapeleka wapi?
Hii kitu ni ya msingi sana japo kuwa nami nilidhani kuwa ni ukabila hapo awali. Kumbuka huyu kachaguliwa na watu japo ni PM ...wanadai kuwa pesa zinazotutia wazimu sasa (chenji ya rada), hiyo kampuni ya BAE iko based jimbo alilokuwa anatokea Tony Blair na alishinikiza ili wapigakura wake waspoteze kazi.
Huwezi kupeleka umeme nk nchi nzima kwa siku moja na the best way of doing it, no way ..."charity bigins at home"! Sio kama tunavyoona sasa ambapo tunawasaidia wageni kuhamishia 'maisha bora' nje ya nchi ...(lakini napenda pia Mkulu anavyopa 'overhaul' Msoga)
Hata mafisadi wanasaidia familia zao, ushaona mtoto wa fisadi akihangaika mtaani ? Dhambi ilianza kwa kabila, ikashuka kwa kijiji, ikaenda kwenye ukoo na sasa imefika kwa familia. Wanafamilia wa mafisadi ndio wanaojua utamu wa ufisadi.
..tatizo la Cleopa Msuya ni kwamba any discussion about him can not go past the accusations of tribalism, and the statement he made during parliamentary debate "kila mtu abebe msalaba wake."
....Msuya pia alikuwa Waziri wa Fedha,Uchumi,na Mipango, ktk awamu ya kwanza ya utawala wa Raisi Mwinyi. The country was in a very serious economic and financial crisis.
..baadaye tena mwishoni mwa utawala wa Raisi Mwinyi, Msuya aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Raisi akichukua nafasi ya John Malecela. hii ilikuwa ni baada ya shinikizo la Mwalimu Nyerere kutaka Malecela na Kolimba wafutwe kazi kutokana na "kuyumba" kwa msimamo wao ktk kuipinga hoja ya Tanganyika.
Mimi sina tabia ya kusifu sifu mtu kwa kujibu vijiswali vya mtangazaji asiye komaa hata ktk taaluma yake.
Msuya alikuwa Waziri mkuu na alikuwa waziri wa fedha -Hizo ndo nyadhifa kuu mbili. Tuambieni alifanya nini hadi JF itoe sifa kwa msuya?
Najua alihamisha pesa kwa kutumia madaraka yake ili Mwanga wapate umeme.
Msuya ni sifa kwa watu wa Mwanga na haiwezi kuwa sifa ya kujivunia kwa wa-TZ
Kama ni ufisadi naye yumo. Atueleze jinsi COGEFA ya italy ilivyopewa tenda ya kujenga bwawa la Mtera. Tena alikwenda mpaka Italy kusaini mkataba maana tunadhani ni Karamagi tu aliyesafiria mkataba, hata Msuya alifanya hivyo na baada ya hapo ndo akapata vijisenti vilivyompa kiburi na kutuambia kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe.
KolakokaVIII said:I have never known people who can be easily convinced like Tanzanians - I thougt a man like CD Msuya should be judged from what he did and what he did'nt taking in consideration his long political carrier instead watu wanampa sifa kwasababu wamemsikia akijibu maswali vizuri(?) sijui ktk kipindi gani Gosh- if this is what all about being a GREAT THINKER 'am literally terrorized by the idea of knowing those who are not great thinkers!!!! we still have a long way to go - God Forbid!!!
alikuwa anazungumzia wenye kuzaa hovyo watoto kapu zima kwa kutegemea kila mtoto anakuja na Riziki yake. wewe uzae mtoto kila mtaa hadi na House Girls wako halafu utegemee serikali ikutunzie. katika hili kila mtu atabeba msalaba wake CD alikuwa sahihi.leo anazungumzia kuwawezesha wakulima kutumia mbegu bora, kipindi kile alisema kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe........
Mpira watazamaji wanaujua kuliko wachezaji. Mzee yuko nje ya uwanja anaona vizuri kuliko alivyokuwa akichezaHivi wakati yeye yuko kwenye system kwa nini hakufanya hayo anayoyasema? Hivi pia ilikufurahisha kipindi kile aliposema kila mtu atabeba msalaba/ mzigo wake mwenyewe?
Give compliments where it is due.Mimi sina tabia ya kusifu sifu mtu kwa kujibu vijiswali vya mtangazaji asiye komaa hata ktk taaluma yake.
Msuya alikuwa Waziri mkuu na alikuwa waziri wa fedha -Hizo ndo nyadhifa kuu mbili. Tuambieni alifanya nini hadi JF itoe sifa kwa msuya?
Najua alihamisha pesa kwa kutumia madaraka yake ili Mwanga wapate umeme.
Msuya ni sifa kwa watu wa Mwanga na haiwezi kuwa sifa ya kujivunia kwa wa-TZ
Kama ni ufisadi naye yumo. Atueleze jinsi COGEFA ya italy ilivyopewa tenda ya kujenga bwawa la Mtera. Tena alikwenda mpaka Italy kusaini mkataba maana tunadhani ni Karamagi tu aliyesafiria mkataba, hata Msuya alifanya hivyo na baada ya hapo ndo akapata vijisenti vilivyompa kiburi na kutuambia kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe.
Give compliments where it is due.
Kama sifa kwa kiongozi yeyote nchini inakuudhi ni bora fumba maji usije ongea kitu kisicho na msingi.
Je unahabari kuwa na Nyerere alienda China kuweka mkataba wa TAZARA,
Sir George alikwenda Canada kuweka mikataba ya CDA, madudu tunayafahamu
Suala la UDA sijui kama unalifahamu
Any analogies here
Na nchi imeweka mikataba mingi sana, na wengi walioweka mikataba hiyo si malaika, na hii haiondoi uwajibikaji na uzalendo wa mtu yeyote.
Na vile vile haikuzuii wewe kutoa mifano hai, na details zake juu ya ufisadi huo.
Never seen?I have never known people who can be easily convinced like Tanzanians - I thougt a man like CD Msuya should be judged from what he did and what he didn't taking in consideration his long political carrier instead watu wanampa sifa kwasababu wamemsikia akijibu maswali vizuri(?) sijui ktk kipindi gani Gosh- if this is what all about being a GREAT THINKER 'am literally terrorized by the idea of knowing those who are not great thinkers!!!! we still have a very long way to go - God Forbid!!!