Kwa jinsi nilivyomsikiliza jana, anafaa kabisa kurudia nafasi ya uwaziri mkuu, lau kama ingekuwa i nawezekana!
Wakuu, nilimsikia mtangazaji akimtaja pia kwa cheo cha Makamu wa Rais...je alikamata nafasi hiyo kwa muda gani?
Cheo cha Makamu wa Rais kilikuwepo kwa muda mrefu sana wakati wa Awamu ya Kwanza.Kwa jinsi nilivyomsikiliza jana, anafaa kabisa kurudia nafasi ya uwaziri mkuu, lau kama ingekuwa i nawezekana!
Wakuu, nilimsikia mtangazaji akimtaja pia kwa cheo cha Makamu wa Rais...je alikamata nafasi hiyo kwa muda gani?
Katika kipindi cha 45 minutes cha ITV leo jioni , mtoa mada alikuwa CD Msuya, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, enzi ya Mwalimu.
Kwa hakika amenikosha sana.
Bado ana data na current za kiuchumi-inaelekea nafuatilia sana current events
Hana papara wala jazba kujibu maswali, na alikuwa composed.
Lakini zaidi ya yote ameiasa nchi mambo makuu yafuatayp
Kwa jinsi alivyokuwa akijieleza kwa ufasaha, tofauti kubwa imeonekana , ukilinganisha na "Mawaziri vijana" wetu waliopo sasa.
- kuwawezesha wakulima kutukia mbegu bora, utaalam bora wakilimo, na mechanization
- ameishauri serikali kupunguza matumizi(kuachana na mashangingi)
- kuongeza uzalishaji mali-katika kilimo n.k. ili kuongeza pato la taifa nahatimaye kupunguza kuporiomoka kwa shilingi yetu
Walioona tupeni maoni, good or bad.
Tulipokuwa na Rais Mzanzibar Ali Hassan Mwinyi, Makamu wake toka bara ukianzia na JS Warioba, JS Malecela na akamalizia na CD Msuya wali-combine UMAKAMU na UWAZIRI MKUU. Na wote walipata nafasi hizo kwa UKRISTO wao kwanza!Kwa jinsi nilivyomsikiliza jana, anafaa kabisa kurudia nafasi ya uwaziri mkuu, lau kama ingekuwa i nawezekana!
Wakuu, nilimsikia mtangazaji akimtaja pia kwa cheo cha Makamu wa Rais...je alikamata nafasi hiyo kwa muda gani?
Kwa jinsi nilivyomsikiliza jana, anafaa kabisa kurudia nafasi ya uwaziri mkuu, lau kama ingekuwa i nawezekana!
Wakuu, nilimsikia mtangazaji akimtaja pia kwa cheo cha Makamu wa Rais...je alikamata nafasi hiyo kwa muda gani?
Inawezekana ameongea vizuri ila binafsi sijaona hayo mahojiano ila kiukweli huyu jamaa ukiangalia kwa umakini yeye ni kati ya vyanzo vikuu vya mmomonyoko wa maadili ya kiuongozi na ufisadi. Tatizo watanzania ni wepesi sana wa kusahau. Huyu jamaa alivyokuwa kiongozi alipeleka umeme huko milimani kwao ambako kwa hali ya kawaida hakufikiki kabisa kwa gharama kubwa za serikali, huu ulikuwa ubinafsi mkubwa na chimbuko la ufisadi tunaouona sasa.
Sielewi kwanini mnamsifia kwa anayoyaongea badala ya kuweka data alivyokuwa na cheo kikubwa kabisa serikalini alifanya nini ? Hata huyu JK mnamponda leo baada ya miaka 10 mtasifia kweli na kumuona ni kiongozi mwenye busara na jasiri. Watanzania tusiwe wepesi wa kusahau.
Alikuwa anaogopaogopa kukosoa moja kwa moja, sijajua kwanini!
Wanajifanya wanabusara hadi mambo yanaharibika 1kwa1!
Mtangazaji nae alikuwa mbwiga tu anashindwa kumuuliza maswali vizuri, sijui kasoma wapi yule!? Ya msingi ya kuuliza yalikuwamengi sio kumwacha msuya akieleze kirahisi vile!
Wazanzibar wanaitaka NCHI yao. Haya mengine ni visingizio vya hapa na pale. Tuwape Nchi yao. Itatusaidia sana. Bunge letu la Muungano litapungua kwa zaidi ya Wabunge 60.
Mkuu PJ.
Enzi za Mwl hadi Mzee ruksa wadhifa wa Makamu wawili wa Rais ulikuwepo.Rais akitoka upande wa Tanzania bara Makamu wa kwanza alikuwa Rais wa Zanzibar,Makamu wa pili wa Rais alikuwa Waziri mkuu.Rais wa JMT akitokea Zanzibar makamu wa kwanza wa Rais alikuwa ni Waziri mkuu na Makamu wa pili wa Rais alikuwa Rais wa Zanzibar.Mkuu hili jambo wazanzibar hadileo wanalilalamikia sana ,wanadhani Rais wa Zanzibar kuondolewa wadhifa wa makamu wa Rais kadharauliwa sana.
Ni kweli. Kipindi kile wangepata mtu kama Jenerali, Kibanda, Ngurumo, Mbwambo, Mwanakijiji au hata Kubenea. Hawa wako huru na wanaijua nchi hii.Yule dogo mara nyingi yeye ndo huwa ANAONGOZWA na wale anaowahoji badala ya yeye kuwaongoza. Nimesikiliza vipindi vyake vingi sana tangu Wassira, Lukuvi, Nahodha..........hadi hiyo jana kwa Msuya; dogo ana mapungufu yafuatayo:
1. Anaongozwa na hao anaowahoji
2. Anawaogopa anaowahoji kwa vyeo vyao hivyo huwa hawaulizi maswali chokonozi
3. Huwa anapenda kuwauliza "light and general questions" ambayo majibu yake tumeyazoea; mfano tumejenga barabara, mahospitali, shule za kata, mgao wa umeme utakuwa historia, n.k.
4. Wakati mwingine huwa inaonekana bayana kuwa yale maswali yote alishawapatia kabla hivyo hata kabla hajafikia swali husika utakuta waziri anatoa majibu ambayo unaona wazi kuwa ameyakariri kabla hajaingia studio.
Kwa mawazo yangu yule dogo hafai kwa kile kipindi aidha awekwe mtu ambaye ata-fit ama kipindi kibadilishwe jina.