PostGE2025 Clemence Mwandambo: Nimempigia Kura Samia, Familia yangu haikushiriki maandamano Oktoba 29, 2025

PostGE2025 Clemence Mwandambo: Nimempigia Kura Samia, Familia yangu haikushiriki maandamano Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu mzee hayuko sawa kabisa ni kama vile amechanganyikiwa
 
Mwandambo bado yupo
Angalau wewe umemsoma! Ni mjanja sana. After all wengine tunapenda mtu anayeeleza ukweli wa makosa wayafanyao viongozi wetu. Awe CCM au nije ya CCM. Tunataka mtu ambaye anayeeleza akiwa na sober mind, asiwe biased. Hicho kiatu kakivaa mwanandimbo
 
Thamani yake na umaarufu wake upo kwenye contents zake, He will go down kama wengine walivyokwenda chini
 
Thamani yake na umaarufu wake upo kwenye contents zake, He will go down kama wengine walivyokwenda chini
 
Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki kuambiwa mawazao tofauti na wakiambiwa hivyo wanaona kama wanaowaambia wana kiburi.

"Kwa bahati mbaya sana tuna wanasiasa machifu hawataki ni watu ambao hawataki kusikia wazo kinyume na wanavyofikiri wakiona unatoa wazo kinyume na wanavyofikiri wanakuona kama una kiburi"

Ameeleza kuwa kutokana na kuwa hayupo kwenye mfumo wa kufanya maamuzi serikalini yeye video zake ndiyo njia ya kufikisha ujumbe.

"Mimi sipo kwenye 'system' ya serikali lakini nikipaza sauti kupitia simu labda naweza nikasikika lakini wanakua hawaamini maoni yangu" ameongeza Mzee Mwandambo


Sasa huyo mwalimu wa chekechea atatushauri nini sisi na madigirii yetu?
Yeye ahangaike na kumpa ushauri mkewe
 
Back
Top Bottom