Habari za asubuhi watu wa humu!
Naomba msaada wenu, kwa yeyote mwenye kujua kampuni zinazotoa huduma ya CLEARING kwa upande wa magari, kampuni ambazo zipo smart, hazina usumbufu, hamna nenda rudi, zinajali kazi, hazina longo longo wala uswahili, naomba anitajie nataka niwatumie kutolea vigari kutoka japan, ukiweza na contacts zao ikiwemo mitaa wanapopatikana!
Shukrani sana