Kuipata hiyo badge ambayo ni verified,ndo kasheshe.Mods hawatoi ushirikiano kwa baadhi ya wadau wenye uhitaji wa hizo badge.Unge Pata verification badge, Inge kusaidia Sana kwenye biashara yako.
maana ita kupa nafasi ya kuonyesha una tambulika, na hivyo kurahisha kuaminika.
Kuna utaratibu wa kufuata, na mpaka Kuna nyuzi zime elewesha hilo.Kuipata hiyo badge ambayo ni verified,ndo kasheshe.Mods hawatoi ushirikiano kwa baadhi ya wadau wenye uhitaji wa hizo badge.
Toa contena bandarini wewe punguza ushauri watu wanataka dola 250 zako.Kuna utaratibu wa kufuata, na mpaka Kuna nyuzi zime elewesha hilo.
jaribu kwa Active ni mod aliye poa angalau.
Punguza bhangi eqe haji mnr, naona wame kuachiaToa contena bandarini wewe punguza ushauri watu wanataka dola 250 zako.