Hii kitu ina ukweli mkuu? Ama uliamua kumtisha jamaa asiingie kwenye biashara yako tu, hahahaa!Bwana mdogo hiyo ni business complex kuliko unavofikiri kwanza ma imported na ma exporter ni walewale hivo soko liko closed ,kama unavojua wao hu deal na ma -customs officer ambao kuokana na na mazingira yao kuzungukwa na rushwa wao huwa wanapiga deal na ma agent wanaowajua tuu tena kwa miaka wao huwa ni targeted na PCB,Usalama kwani ukimuotea ni rahisi kukupa mamilion hivo hata kakako ni ngumu kukuunganisha,
Aidha kuanzisha c$f compn sio mchezo ina kubidi uwe na decent office level za TRA ambayo ni lazima iwe karibu na customs station kama posta kwa dar ,ambapo kukodi office kwa mwezi si chini ya 2 mil tena wanachukua kwa mwaka, kufunga system ya Asycuda ni ghali TRA wenyewe wameshindwa gharama ya kufunga baadhi ya maeneo kama mtukula ambayo inaingiza bilions.pia kujiunga tu lazima uweke bond ya USD 100,000 ambayo unaideposit kwa TRA ambayo italinda kodi zao au itakatwa ua ukivuruga hauipati,wengi unao wajua ni mtu anamuomba mwenye kampuni aka function ambako yeye hayupo,
USHAURI : DOGO KILIMO KWANZA NDO MKOMBOZI WAKO, KAMA MSOMI HUWEZI KUWAZA BIASHARA ZINAZOSAIDIA NCHI TAJILI KUPATA SOKO MARA KUUZA LAPTOP ,KUFUNGUA CAFE,DUKA LA NGUO (ZA KISHAROBARO) HAKIKA UNAKUA HUTOFAUTIANI NA MACHINGA WA KARIAKOO WEWE LIMA UKIFOCUS KUPANUA SHAMBA ZAKU NA HATIMAYE KUFUNGUA KIWANDA KIDOGO CHA KUSINDIKA MAZAO YAKO .
.
Bwana mdogo hiyo ni business complex kuliko unavofikiri kwanza ma imported na ma exporter ni walewale hivo soko liko closed ,kama unavojua wao hu deal na ma -customs officer ambao kuokana na na mazingira yao kuzungukwa na rushwa wao huwa wanapiga deal na ma agent wanaowajua tuu tena kwa miaka wao huwa ni targeted na PCB,Usalama kwani ukimuotea ni rahisi kukupa mamilion hivo hata kakako ni ngumu kukuunganisha,
Aidha kuanzisha c$f compn sio mchezo ina kubidi uwe na decent office level za TRA ambayo ni lazima iwe karibu na customs station kama posta kwa dar ,ambapo kukodi office kwa mwezi si chini ya 2 mil tena wanachukua kwa mwaka, kufunga system ya Asycuda ni ghali TRA wenyewe wameshindwa gharama ya kufunga baadhi ya maeneo kama mtukula ambayo inaingiza bilions.pia kujiunga tu lazima uweke bond ya USD 100,000 ambayo unaideposit kwa TRA ambayo italinda kodi zao au itakatwa ua ukivuruga hauipati,wengi unao wajua ni mtu anamuomba mwenye kampuni aka function ambako yeye hayupo,
USHAURI : DOGO KILIMO KWANZA NDO MKOMBOZI WAKO, KAMA MSOMI HUWEZI KUWAZA BIASHARA ZINAZOSAIDIA NCHI TAJILI KUPATA SOKO MARA KUUZA LAPTOP ,KUFUNGUA CAFE,DUKA LA NGUO (ZA KISHAROBARO) HAKIKA UNAKUA HUTOFAUTIANI NA MACHINGA WA KARIAKOO WEWE LIMA UKIFOCUS KUPANUA SHAMBA ZAKU NA HATIMAYE KUFUNGUA KIWANDA KIDOGO CHA KUSINDIKA MAZAO YAKO .
.
Wakuu, msaada tafadhali kwa anayefahamu taratibu za kupata leseni ya Clearing & Forwarding Agent. Hawa jamaa wakututolea mizigo yetu wanasumbua sana bana!
HapanaWewe ukipata leseni hauta tusumbua kama hao wanvyo kusumbua?
Wakuu, msaada tafadhali kwa anayefahamu taratibu za kupata leseni ya Clearing & Forwarding Agent. Hawa jamaa wakututolea mizigo yetu wanasumbua sana bana!
MKUU UPO AISEE KITAMBO JE UNAZO ZILE PIKIPIKI TENAkwakweri nibiashara poa ukiwa na mtaji hata mm nasoma kozi ya freight clearing forwarding management diploma chuo cha bandari tusidanganyane kilimo chasaivi bila mtaji utakua ndio ulele uti wamgongo jembe lamkono nisawa nakuvua samaki ndania ya bakuri apo kaka kama mtaji upo piga kazi achana namaneno ya siasa