Hili swali umeliandika kwa uchungu na maumivu makubwaSwali linabaki: Je, Simba SC wamekosa kabisa mbadala wa Chama sokoni, au ni uvivu wa viongozi kufikiri na kufanya maamuzi mapya?
Wewe unaonekana ni kundi la wasiomtakia mema MangunguMkuu Simba inahitaji mawazo ya watu wapya
45Ana miaka mingapi?
Ni kweli kabisa timu inakuwa kama genge la mtu flani anafanya anavyotaka yeye,washabiki hatuna raha na kinacho endelea, kwani bila huyo Chama hatuwezi kusonga mbele? mbona wachezaji wapo wengi sana? kwakweli naafiki kabisa yakuwa Simba inahitaji mawazo na uongozi mpya.Mkuu Simba inahitaji mawazo ya watu wapya
Bado mdogo, 27 ru!Ana miaka mingapi?
Aah sawaBado mdogo, 27 ru!