Period..umemaliza mkuuJibu simple
Chukulia wewe una demu wako halafu kuna jamaa, alikuwa ana mpenda lakini hakumwambia ikafika siku wakaonana basi huyo jamaa naye aka mwambia demu wako kuwa ana mpenda, demu wako akawa ana muelewa ila tatizo likawa ni YUKO NA WEWE, unge wish demu wako afanyanje!!?
Ukisha pata jibu, igeuze stori irudishe kwako fanya ambacho ungewish kitokee
*vile ambavyo ungetaka wewe utendewew basi watendee na wengine vivyo hivyo.
Hahahahhaha..Kama huyo demu kakuteka kwanini usi report sehemu husika kuwa umetekwa!!
The Law of Karma...Jibu simple
Chukulia wewe una demu wako halafu kuna jamaa, alikuwa ana mpenda lakini hakumwambia ikafika siku wakaonana basi huyo jamaa naye aka mwambia demu wako kuwa ana mpenda, demu wako akawa ana muelewa ila tatizo likawa ni YUKO NA WEWE, unge wish demu wako afanyanje!!?
Ukisha pata jibu, igeuze stori irudishe kwako fanya ambacho ungewish kitokee
*vile ambavyo ungetaka wewe utendewew basi watendee na wengine vivyo hivyo.
umeongea kwa busara hadi raha. halafu nikapata wazo umesikia maumivu kweli yani kitendo anataka kufanya.Jibu simple
Chukulia wewe una demu wako halafu kuna jamaa, alikuwa ana mpenda lakini hakumwambia ikafika siku wakaonana basi huyo jamaa naye aka mwambia demu wako kuwa ana mpenda, demu wako akawa ana muelewa ila tatizo likawa ni YUKO NA WEWE, unge wish demu wako afanyanje!!?
Ukisha pata jibu, igeuze stori irudishe kwako fanya ambacho ungewish kitokee
*vile ambavyo ungetaka wewe utendewew basi watendee na wengine vivyo hivyo.
umeongea kwa busara hadi raha. halafu nikapata wazo umesikia maumivu kweli yani kitendo anataka kufanya.
Am with u hundred paceee![]()
Maumivu nayajua kwa kweli!
Huyu jamaa ana angalia upande wake tu, ana sahau, kuwa mwenzie ata umia.
Siku zote ukiwa hujapitia shida unakuwa una jifikiria wewe tu.
Mkuu huyo mwanamke una mpango wa kumuoa?Kuna dem nilisoma nae chuo, Nilikuwa nampenda sana sasa kutokana na hali yangu na yake sikuweza kujiongeza kwake, leo hii niko nae Kwenye kundi moja la whatsapp ... najaribu kumwelezea hisia zangu juu yake ananielewa ila TATIZO ANA JAMAA YAKEE...
Nifanye nn mm na mtoto nnampenda sanaa
Likewise mkuu![]()
Thanks