Pigana mpaka tone la mwisho as long as hajaolewa rasmi. Si rahisi kukuta msichana ambaye hana mtu kabisa, na mbaya kuna watu wanamiliki hata 10 kwa hiyo hapo ni kuporona tu. Usiogope kwani kuna wakati chui anamwua swala na fisi from nowhere anampora chui kitoweo chake tena mchana kweupe.Kuna dem nilisoma nae chuo, Nilikuwa nampenda sana sasa kutokana na hali yangu na yake sikuweza kujiongeza kwake, leo hii niko nae Kwenye kundi moja la whatsapp ... najaribu kumwelezea hisia zangu juu yake ananielewa ila TATIZO ANA JAMAA YAKEE...
Nifanye nn mm na mtoto nnampenda sanaa
Kama kakukataa temana nae utajiumiza bure ndugu.Wanijua mm ??
Sawa sawa nimekuelewaUzuri ni kwamba unajua kuwa anajamaa yake. Hata wewe mwenyewe huenda unsye wako mpaks sasa. Kwa nini unatamani mwanamke asiye make wako? Hii ni Sawa na ulafi.
Tafuta hela zaidi ya Jamaa yake kwanza atakuja mwenyewe,sio hela za manati,au niseme tafuta hela nyingi watakufata kama nyuki ..Kuna dem nilisoma nae chuo, Nilikuwa nampenda sana sasa kutokana na hali yangu na yake sikuweza kujiongeza kwake, leo hii niko nae Kwenye kundi moja la whatsapp ... najaribu kumwelezea hisia zangu juu yake ananielewa ila TATIZO ANA JAMAA YAKEE...
Nifanye nn mm na mtoto nnampenda sanaa
Hakuna anaetaka kusikia Nakupenda sijui Ilove u mara ur the One,mara your the only fish ni my sea,yanini yote hayoPesaa ndo mchawi au sio
Pesa zenyewe zimekazaaa kinyamaa hazipatikan
Duh Ahsantee limepenyaaaa iloHakuna anaetaka kusikia Nakupenda sijui Ilove u mara ur the One,mara your the only fish ni my sea,yanini yote hayo
tafuta pesa watadondoka kama mende alopukiziwa Pif paf, huna hena mbona hata kama hana bwana atakwambia anae
nani anataka mikosi yakutakiwa na bwana asopesa lol............