usatz
Member
- Sep 4, 2016
- 96
- 45
Kuna dem nilisoma nae chuo, Nilikuwa nampenda sana sasa kutokana na hali yangu na yake sikuweza kujiongeza kwake, leo hii niko nae Kwenye kundi moja la whatsapp ... najaribu kumwelezea hisia zangu juu yake ananielewa ila TATIZO ANA JAMAA YAKEE...
Nifanye nn mm na mtoto nnampenda sanaa
Nifanye nn mm na mtoto nnampenda sanaa