Classic men dressing

Classic men dressing

Joined
Sep 26, 2015
Posts
22
Reaction score
14
Tuambie nini kimekosekana au kimekosewa hapo ( kwa wale classic men wenzangu)

IMG_7040.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suruali imebana Sana aka chupa

Sent by IPhone

Ukivaa bwanga linakua saggy kwa chin na halina mvuto kwsbb linapoteza taswira ya mwili wako na watu wanapenda kuona miili ya watu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom