Ni dalaja la katikati mkuu,hujui maneno ya kiswahili kama kuku wa kienyeji mzee??Kiswahili kipana kaka..habari zenu ma-great thinker,
nimekuwa nikisoma posts nyingi humu na kukutana na maneno haya "MIDDLE CLASS".
naomba mtu anieleweshe middle class tanzania ni mtu/watu wa aina gani?vilevile itanisaidia kujua upper/lower class nao ni watu wa aina gani hapa tanzania.
inawezekana hili swali/post ishajadiliwa lakini mimi binafsi sikuiona hivyo nitaomba mnieleweshe,asanteni sana.
habari zenu ma-great thinker,

Middle class kwa ninavyoelewa ni wale wenye maisha ya kawaida yaani anaweza kuweka chakula on a table.habari zenu ma-great thinker,
nimekuwa nikisoma posts nyingi humu na kukutana na maneno haya "MIDDLE CLASS".
naomba mtu anieleweshe middle class tanzania ni mtu/watu wa aina gani?vilevile itanisaidia kujua upper/lower class nao ni watu wa aina gani hapa tanzania.
inawezekana hili swali/post ishajadiliwa lakini mimi binafsi sikuiona hivyo nitaomba mnieleweshe,asanteni sana.
Ndipo hapo wanapochanganya life style na middle class. The idea of poverty is a norm in tanzania hivyo anaeweza kula ni middle class wasicho elewe this class is based on educated and top proffesionals.naomba ufafanunue,sijauliza direct translation....labda niongeze middle class inatokana na kipato chake/elimu/background??etc
Middle class kwa ninavyoelewa ni wale wenye maisha ya kawaida yaani anaweza kuweka chakula on a table.
Britain was once a class-ridden society. Today, multiculturalism and a changing economy are gradually eroding the British class system, but some features of the system still remain.Ndipo hapo wanapochanganya life style na middle class. The idea of poverty is a norm in tanzania hivyo anaeweza kula ni middle class wasicho elewe this class is based on educated and top proffesionals.
Sasa kwenye nchi ambayo aithamini wenye elimu ya kweli na kuwatumia ipasavyo the whole concept of class disappears and class gets to be categorized as a lifestyle rather than the heirachy intended of defining it.
Utasema viongozi wetu ni wasomi Tanzania so far, surely tungeona right arguments on the press au hata huko mabungeni. Kwa bongo fanya lako liende chonga, ongopa, iba na ule. We are poor for reason.
Tanzania hamna proper classes, ndio kwanza zinaanza ku emerge.
The old chieftains were demolished by Nyerere. Up until the eighties I used to see Waziri Nyanganyi driving his VW beetle around sea view and upanga.The few merchants are mainly of Indian descent, and they are not significant enough to formulate a proper class.
If anything we have the ruling and ruled classes.
shusha kwanza hayo mabox yako chini utaelewa..................