Kweli hakisaidii chochote kwa mtazamo wa watu wengine ila binafsi ninatarget kituKuwa CR hakutakusaidia chochote mdogo wangu. Kikubwa nakushauri hilo boom tumia vizuri maana baada ya miaka 3, 4 au 5 utaingia kitaa kuja kuwatumikia jamaa zako ulio waacha shule ya msingi.
Duh duh duh napenda kudoji sana bas inabidi nimtafute rafiki CR ili nile maisha nashukuru ndungu komment yako had impact in my visionHutoweza kudoji kila kipindi lazima uwepo utakuwa roboti tu na kwa maisha ya chuo kudoji kutafuta muda wako ni muhimu sana
Majukumu yataongezeka kukusanya assignment , kufatilia vipindi , taarifa nk makorokocho yote
Faida labda utajuana na wahadhiri wa kozi yako na darasa zima litakujua sasa sijui kama hii ni faida
Na zile elfu 2000 za CR fees utazila [emoji3]